Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,203
- 138,577
Kila jambo lahitaji hatua, step one ni kuvuliwa cheo, then vyombo husika (DPP, Mahakama) kuendeleza mchakato kufuatana na dhana mzima ya utawala bora
Huyu jamaa aliyeleta hii thread ni mbeya, pili hoja zake hazina mashiko. Kama baba Ritz kidume basi awapeleke mahakamani then awafilisi hao wezi.
Kama sio shinikizo la upinzania angevunja hilo baraza acha kukurupuka .
B kukutetea pesa ya bure kazi kweli lazima ujifanye chizi hamnazo maadam ujira unaingia hata kama hupendi
watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao mheshimiwa rais kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.
Hatua hiyo imezidi kukipaisha ccm na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani chadema huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya jk na kuipongeza cc ya ccm kuwa ina wapenda tanzania na manufaa kwa watanzania.
Poleni chadema, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.
Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.
Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
Kikwete asingeweza kamwe kufanya mabadiliko yeyote kama siyo kuwakiwa na CDM, hata hao wabunge wa ccm unaowaona kujidai kupiga kelele inawalazimu kufanya hivyo hata kwa kuigiza la sivyo watayapoteza majimbo yao kwa CDM.
Na CAG na namna anavyofanya kazi kwa sasa ni Dokta Slaa ndio alifanya marekebisho.
Yale maandamano ndio yamekufa kifo cha kawaida baada ya kauli ya Rais Kikwete..
Sijui Slaa itakuaje sasa na zoezi lake la kukusanya saini milioni 8 Tanzania nzima.
usihofu chadema ina vichwa vingi tu,itaanzisha hoja nyingine kwa sababu hoja ya katiba,hoja ya baraza la mawaziri zimeshapita. Nashauri cdm ianze na hoja ya elimu ya chuo na sekondari bure halafu tufuatie hoja ya kushusha bei ya cement
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.
Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.
Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
Upinzani wekeni kando, JK amekidhi matakwa ya watanzania, leo roho kwatu!!!