usitukane ndugu hakuna mama
jina lako laonekana lamaana nakushauri uvue gamba otherwise hueleweki
usitukane ndugu hakuna mama
acha unafi. Ushaidi uko wapi?.
Vick Kamata , ameshapona ?
idadi ya watu waliopo ni 36.matangazo Jana usiku yalikuwa balaa
Yaani mkuu ungelikuwa umeweka picha hapa ungelikuwa umeyakata maini haya maccm, sasa hivi yanaona kama unayasingizia!!!Chama cha mapinduzi Mwanza kimeibika na kujikuta kinapiga mziki na kukosa watu huku mwanafunzi wa shule za msingi wakiwa ndiyo wafuasi wao. Mpaka sasa wanautubia wengi ni CHADEMA ambao wamekaa kando ya kiwanja msemaji wao anasema Wenje afungashe virago vyake Jimbo linarudi CCM. Anasema Wenje ameshindwa kujenga barabara, vyoo, zahanati, maji, umeme, anasema CHADEMA na CUF wako tiari kukubali ushoga kisa misaada anaendelea kusema vyama hivi wanataka vita. Ukweli ni aibu kuu hakuna watu, watu wamekikataa CCM
idadi ya watu waliopo ni 36.matangazo Jana usiku yalikuwa balaa
Bado hujapata mume?Vipi dr.slaa kishaoa?
Vick Kamata , ameshapona ?
Haha. Hivi huko dar hakuna njemba mwingine amtulize huyu kamata maana anatusumbua huku.
hata malori waligoma kupanda nadhani
hongereni wana.mwanza
kwani kuachwa kuna dawa ?