CCM Mwanza yaaibika yabakia na mziki

CCM Mwanza yaaibika yabakia na mziki

Nicolas J Clinton Gabone

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
892
Reaction score
536
Chama cha mapinduzi Mwanza kimeibika na kujikuta kinapiga mziki na kukosa watu huku mwanafunzi wa shule za msingi wakiwa ndiyo wafuasi wao. Mpaka sasa wanautubia wengi ni CHADEMA ambao wamekaa kando ya kiwanja msemaji wao anasema Wenje afungashe virago vyake Jimbo linarudi CCM. Anasema Wenje ameshindwa kujenga barabara, vyoo, zahanati, maji, umeme, anasema CHADEMA na CUF wako tiari kukubali ushoga kisa misaada anaendelea kusema vyama hivi wanataka vita. Ukweli ni aibu kuu hakuna watu, watu wamekikataa CCM
 
Mbona kama wamekaa mika hawa ? Kule songea Jk na wanafunzi
 
Tunaomba picha mkuu ili nao wasitusumbue hawakawii kubishabisha kule songea jana kulijaa wanafunz na picha zikatupiwa mtandaon tunaomba na uko
 
CCM tulishaizika hapa Mwanza! Wanapoteza muda wao bure,kama wana uwezo waache kumlinda Matata na wenzake tupige mechi ya kirafiki waone vumbi!
 
Chapilia mbali mafilauni ccm hayo. Yasubiri hongo za pombe na kienyeji na pulau mbichi. Shame on them starting from their chairman......
 
Tena hao ccm nawachukia kama navomchukia shetani ,uliona wapi m2 anaongoza nchi ya tanzania alafu tuzo akapewe USA Wap na wap .....ccm tokeni bhana mnazngua 2
 
chama cha mapinduzi mwanza kimeibika na kujikuta kinapiga mziki na kukosa watu huku mwanafunzi wa shule za msingi wakiwa ndiyo wafuasi wao. Mpaka sasa wanautubia wengi ni chadema ambao wamekaa kando ya kiwanja msemaji wao anasema wenje afungashe virago vyake jimbo linarudi ccm. Anasema wenje ameshindwa kujenga barabara, vyoo, zahanati, maji, umeme, anasema chadema na cuf wako tiari kukubali ushoga kisa misaada anaendelea kusema vyama hivi wanataka vita. Ukweli ni aibu kuu hakuna watu, watu wamekikataa ccm

acha unafi. Ushaidi uko wapi?.
 
Chama cha mapinduzi Mwanza kimeibika na kujikuta kinapiga mziki na kukosa watu huku mwanafunzi wa shule za msingi wakiwa ndiyo wafuasi wao. Mpaka sasa wanautubia wengi ni CHADEMA ambao wamekaa kando ya kiwanja msemaji wao anasema Wenje afungashe virago vyake Jimbo linarudi CCM. Anasema Wenje ameshindwa kujenga barabara, vyoo, zahanati, maji, umeme, anasema CHADEMA na CUF wako tiari kukubali ushoga kisa misaada anaendelea kusema vyama hivi wanataka vita. Ukweli ni aibu kuu hakuna watu, watu wamekikataa CCM

jana SONGEA WANAFUNZI , LEO TENA MWANZA CHEKECHEA ! SAFARI HI LAZIMA TULETE DIV 6 .
 
Back
Top Bottom