kalooo 25594
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 300
- 194
Huo sasa ushabiki ndgu kumbuka siasa ni kama upepo kabla ya 2010 chadema ilikuwa si kitu VIP Leo si mpaka serikali inaiwekea vikwazo vya kila aina kuithibiti isionane na watu.Jiandaeni Kisaikolojia! 2020 Wabunge wa Upinzani watakaorudi hawazidi 10 Nchi nzima Mwanza tunawapiga asubuhi tu! CCM Oyeeeeee!
Hata Mugabe alikuwa anaongea hivyo hivyo kuwa atatawala milele kisa kapigania uhuru lkn muulize sasa hivi yupo wapi
Huenda unaandka uko kitandani ebu andika wakati wa mapumziko uone kwanini umepumzika na ukaandika.Endelee kuota Ndoto! Ikiwezekana lala sana ili ndoto zako zitimie! Hii ndio CCM Mpya! Mlilegezewa sana dadeki! Sasa kaja Mwamba anapoha kotekote hamfurukuti!nyuma hamtikisiki mbele hamchezi! Duniani hampo Akhera mnatafuttwa Ndegelek
Hapo uchaguzi ujao wanabadilisha candidate Safari inaendelea.inaonekana jamaa kachemka ndio maana watu wamemsusa.Sioni kama kuna haja ya kufanya hivyo maana picha inajionyesha
Cc ANCSababu watu wanaweza kuja kwenye mkutano halafu matokeo yawe tofauti na mategemeo. Ref to mafuriko awamu iliyopita. Mm sikuwa kwenye mkutano hata mmoja Ila nilipiga kura.
Mwanza inalejea ile ya 2010 kule Kiwia kule General Wenje Hakika Mwanza ilipendeza sana wenye Mwanza yetu sasa tunasema nyie kina mabura mtupishe
Huenda unaandka uko kitandani ebu andika wakati wa mapumziko uone kwanini umepumzika na ukaandika.
Endelee kuota Ndoto! Ikiwezekana lala sana ili ndoto zako zitimie! Hii ndio CCM Mpya! Mlilegezewa sana dadeki! Sasa kaja Mwamba anapiga kotekote hamfurukuti!nyuma hamtikisiki mbele hamchezi! Duniani hampo Akhera mnatafuttwa Ndegelek
Huo sasa ushabiki ndgu kumbuka siasa ni kama upepo kabla ya 2010 chadema ilikuwa si kitu VIP Leo si mpaka serikali inaiwekea vikwazo vya kila aina kuithibiti isionane na watu.