Tecno yako ina uwezo wa kupiga picha mkutano wote au umepiga pale kwenye wachache ndio ukafungulia uzi, kama we ni rational being ungejaribu japo kidogo kulega mada yenye usawa
Sababu watu wanaweza kuja kwenye mkutano halafu matokeo yawe tofauti na mategemeo. Ref to mafuriko awamu iliyopita. Mm sikuwa kwenye mkutano hata mmoja Ila nilipiga kura.