Demokrasia imeanza kurejeshwa tena Tanzania. Mikutano ya vyama vya siasa imeruhusiwa kwa kiasi na uhuru wa kujieleza unarudi. Upinzani ukiongozwa na CHADEMA umeanza kurudi katika hali yake kabla ya kipindi cha udhalimu.
Nimeona tayari hofu kubwa kati ya wana CCM kutokana na yanayoendelea nchini. Wana CCM wengi wanatamani Magufuli arudi kuja kuwasaidia kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa au kwa kuminya uhuru wa vyombo vya habari.
Kwa bahati yao mbaya Magufuli hayupo. Enyi CCM msimame sasa kwa akili zenu na miguu yenu mbele ya haki na demokrasia, najua itakuwa ngumu lakini hakuna namna.