Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,837
- 50,541
Yaani najua hawajielewi. Lakini kwa mfumo wa kishoshalisti wa vyama vyetu tulionao chama kinapokuwa kimegawanyika na serikali nayo hugawanyika!Lowasa anaendelea kukiumiza hiki chama ila vilaza kama Barbarosa hawalijui hilo
Hichi kinachoendelea CCM hukioni hadi mmefia hatua kutekana nyie kwa nyie tu kosa ni kumkosoa mwenyekiti wenu.Dah... Watu wajinga hawawezi hata kuvuta kumbukumbu,
Kipi hasa kinachokufanya useme ccm wamegawanyika?
Umesahau walivyo wasulubu chadema kwenye ishu ya wabunge wa EAC? Tena juzi tu hapa?
Wanaccm halisi wanafahamika na ccm mizimu wanafahamika..kwani we hujui kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo??Sasa ni dhahiri shayiri kwamba Chama Chama Mapinduzi kimegawanyika sana na kile kinachoonekana kama ni utulivu ndani ya chama hicho ni hofu, woga, Mzizimo na kuviziana kwa kiwango cha hali ya juu sana. Sasa chama kilichogawanyika namna hiyo kinawezaje kuongoza nchi yetu kiufanisi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chama cha watekaji nasikia bashite kavamia tena Sinza n kufanukiwa kupora pesa
Hilo ndilo linasaidia kuendesha nchi kiufanisi!?Dah... Watu wajinga hawawezi hata kuvuta kumbukumbu,
Kipi hasa kinachokufanya useme ccm wamegawanyika?
Umesahau walivyo wasulubu chadema kwenye ishu ya wabunge wa EAC? Tena juzi tu hapa?
Mwana ccm gani ametekwa?Hichi kinachoendelea CCM hukioni hadi mmefia hatua kutekana nyie kwa nyie tu kosa ni kumkosoa mwenyekiti wenu.
Afadhali wangetekwa. Yaani mtu anaogopa hadi kwenda Dar es salaam!Mwana ccm gani ametekwa?
Vipande hivyo umetukata wewe?Sasa ni dhahiri shayiri kwamba Chama Chama Mapinduzi kimegawanyika sana na kile kinachoonekana kama ni utulivu ndani ya chama hicho ni hofu, woga, Mzizimo na kuviziana kwa kiwango cha hali ya juu sana. Sasa chama kilichogawanyika namna hiyo kinawezaje kuongoza nchi yetu kiufanisi?
Mmejikata wenyewe. Sasa hivi kuna kundi la watekaji na lipo lile mnaloliita la Wasaliti masalia!!Vipande hivyo umetukata wewe?