Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,353
- 38,544
Sasa ni dhahiri shayiri kwamba Chama Chama Mapinduzi kimegawanyika sana na kile kinachoonekana kama ni utulivu ndani ya chama hicho ni hofu, woga, Mzizimo na kuviziana kwa kiwango cha hali ya juu sana. Sasa chama kilichogawanyika namna hiyo kinawezaje kuongoza nchi yetu kiufanisi?