CCM: Moshi wa helkopita una madhara kiafya!

CCM: Moshi wa helkopita una madhara kiafya!

Unaweza kudhani ni commedy lakini ndiyo ukweli. Baada ya kamanda wa anga kutarajiwa kuanza kuchana anga na chuma kesho huko Kalenga na kuchapa mikutano sita kwa siku Ccm wameingiwa kiwewe na kutangaza kwa wananchi kwamba moshi wa helkopita una madhara kiafya.
Source: Majira

My take: Tunaanza kuhisi matokeo na hali ya mgombea wa Ccm ni kama ya Siyoi hata kuongea!

CCM Bwana Hawaishi Vioja..
 
...imefanywa na kile kigagula(kinguge) anayewakilisha wa chawi kwenye bunge la katiba akisaidiana na profesa maji mafupi kutoka Tanga...

Huyu mzee hela zake alimazia kwenye ushirikina wa kukiokoa chama chake.Sasa haeshimiki kabisa na amejikuta akitafuta nafasi za posho hata kujiita mganga wala hakumbuki nyadhifa ambazo amewahi kuwa nazo.Mwenyewe jinsi alivyo muongo hata haeshimu uzee wake.Hili ni janga la taifa
 
Wala siwezi kuwashangaa CCM kwa mtazamo kama huo. Wana hoja dhaifu sana na inabidi uwe mjinga ndo ukubaliane nao.

Juzi mle bungeni Waziri mmoja wakike alisema kuwa inabidi wanaume wavae suti za magharibi make mle ndani AC huwa zinafunguliwa na ukumbi unakuwa wa baridi sana.

Ukiona mtu anafungulia AC hadi baridi inazidi na hivyo kulazimika kuvaa nguo nyingi ujue akili zake kaziweka pembeni!
 
Noted:
Ni ujuha na upunguani.

Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Ccm ni waoga mpaka wanakasirisha na sasa hivi wamefulia hawawezi kurusha chopa full kutetemeka
 
wenyewe walipozitumia Igunga,zulikuwa hazitoi moshi??? Kumbe za chadema ndio zinatoa moshi...aaaahaaaa hapa ccm mkubali mmechemka.Badala ya kucopy ya chadema na nyie mkaleta ya kwenu mnaangaika
 
hahahahaha ccm ni ratizo hapa tanzania
 
Wakati CHADEMA wakiwa wameanza kutumia helikopta katika kampeni za lala salama huko Kalenga, Katibu wa CCM wa Mkoa wa Iringa, Bw. Hassan Mtenga amewahadharisha wananchi wa Kalenga kutokukimbilia helikopta ya CHADEMA, kwa madai kwamba ina athari za kiafya. Amesisitiza kwamba moshi unaotoka katika injini ya helikopta husababisha kansa. Amesema kwamba athari za kusogelea helikopta zinaweza zisijitokeze sasa, lakini baada ya muda fulani, athari hizo zitakuwa dhahiri. Hivyo, amewataka wakazi wa Kalenga kuendelea na shughuli zao, na wasithubutu kuisogelea helikopta ya CHADEMA itakapokuja katika kampeni vijijini, ili wasiugue saratani.

SOURCE: Majira, Jumamosi Machi 8, 2014.

MY TAKE: Nimeamini kwamba mtaji wa CCM vijijini, ni ujinga wa wananchi; ndiyo maana hawataki kuboresha elimu!
 
Maccm bwana, wao kuuza ARV's fake ni sawa hawauwi Watanzania. Ila kuwadanganya watu ndio sera zao. Hawa jamaa ni mbulula kweli kweli. I hate maccm.
 
Wakati CHADEMA wakiwa wameanza kutumia helikopta katika kampeni za lala salama huko Kalenga, Katibu wa CCM wa Mkoa wa Iringa, Bw. Hassan Mtenga amewahadharisha wananchi wa Kalenga kutokukimbilia helikopta ya CHADEMA, kwa madai kwamba ina athari za kiafya. Amesisitiza kwamba moshi unaotoka katika injini ya helikopta husababisha kansa. Amesema kwamba athari za kusogelea helikopta zinaweza zisijitokeze sasa, lakini baada ya muda fulani, athari hizo zitakuwa dhahiri. Hivyo, amewataka wakazi wa Kalenga kuendelea na shughuli zao, na wasithubutu kuisogelea helikopta ya CHADEMA itakapokuja katika kampeni vijijini, ili wasiugue saratani.

SOURCE: Majira, Jumamosi Machi 8, 2014.

MY TAKE: Nimeamini kwamba mtaji wa CCM vijijini, ni ujinga wa wananchi; ndiyo maana hawataki kuboresha elimu!
Hizi ndizo kauli zisizokuwa na maana na kuwafanya watu mbumbumbu. Je moshi wa magari hauna athari? Lawama pia ni kwa waandishi wa habari kutokuhoji na kuwaachia watu kupotosha.
 
juzi alisema tuwaogope chadema kama mgojwa wa ukimwi nikajiuliza mgojwa wa ukimwi anatakiwa kuogopwa?
 
Poleni sana kwa huo upotoshaji, kama ni hivyo basi hata magari wanayotumia CCM kwenye kampeni yanatoa moshi watu wasiyasogelee na kuyapanda maana nao pia watapata kansa.
 
juzi alisema tuwaogope chadema kama mgojwa wa ukimwi nikajiuliza mgojwa wa ukimwi anatakiwa kuogopwa?

ukiona hivyo ujue hali ni mbaya, hapo wanapanga kuiba kura tu sasa
 
Mtaji CCM kiukweli ni ignorance ya watu wa vijijini sasa tazama anachoongea mtenga kiukweli inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom