CCM: Moshi wa helkopita una madhara kiafya!

CCM: Moshi wa helkopita una madhara kiafya!

mpk

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
3,115
Reaction score
3,865
Unaweza kudhani ni commedy lakini ndiyo ukweli. Baada ya kamanda wa anga kutarajiwa kuanza kuchana anga na chuma kesho huko Kalenga na kuchapa mikutano sita kwa siku Ccm wameingiwa kiwewe na kutangaza kwa wananchi kwamba moshi wa helkopita una madhara kiafya.
Source: Majira

My take: Tunaanza kuhisi matokeo na hali ya mgombea wa Ccm ni kama ya Siyoi hata kuongea!
 
Hahahaha ccm bhana wamekosa cha kucngizia wakisikia chopa tu wanatetemeeeka kwa hiyo moshi wa gari unatija kiafya?
 
ebu tuone kama hiyo helcopter itasaidia?? ila ccm hapo ndio watapata cha kusema.

mimi binafsi si dhani km inaweza kusaidia, makamanda pambana tufe kiume
 
Sijaona chama kibovu na wasomi mbumbu kama ccm tuna vitu vingi ambavyo moshi wake una madhara sasa ijekuwa helkopta.

Magari yaliyowapeleka Kalenga moshi wake ni mzuri? Wananchi kwaujumla wana akili timamu
hawatayumbisha na hao wahuni ccm
 
Polisi pia hutumia helcopter,lakini kama kunamadhara yatampata mh.mbowe anayeitumia
 
Mwenzao mtela kaanzisha uzi wa mauaji hko yaani upuuz mtupu ccm bana
 
wameshaanza kuweweseka!!! kulingana na muda lazima watumie chopa kurahisisha na kuokoa muda!!! viva cdm!
 
Niliposikia habari hiyo nimecheka mpaka. Sina uhakika maneno hayo kasema nani,ila kama kasema Livingstone Lusinde sishangai. CCM kwa hili imewadharau sana watu wa Kalenga na wanapaswa kuadhibiwa kwa dharau zao siku ya tarehe 16/3 kwa kunyimwa kura.
kw hiyo CCM Wanapendekeza watu watumie punda kwani ushu.zi wa punda hauna madhara. Kweli hawa jamaa wamechoka.
 
Duu!! Kwa wale wapikia kuni itafika kipindi mtaambiwa msipike na kuni kisa mko Upinzani.
Aliyetamka haya maneno ni nani??
 
mkuu kababu kwa hii leo umeiweza timu yako ya buku7 hivo wambie2 waende nyumbani wakatafute kazi nyingine haf ulivo mnafiki na mpotoshaji habari yako umeichukua kwenye mpekuzi 2naijua hiyo habari ya uongo toka mwaka juzi umedoda na hata wa2 wakiiona wanaipita2
 
Pamoja na wa magari, na wa mkaa, na wa kuni, na wa vowandani, niendelee?
 
Unaweza kudhani ni commedy lakini ndiyo ukweli. Baada ya kamanda wa anga kutarajiwa kuanza kuchana anga na chuma kesho huko Kalenga na kuchapa mikutano sita kwa siku Ccm wameingiwa kiwewe na kutangaza kwa wananchi kwamba moshi wa helkopita una madhara kiafya.
Source: Majira

My take: Tunaanza kuhisi matokeo na hali ya mgombea wa Ccm ni kama ya Siyoi hata kuongea!

Naomba tupatiwe kiwango cha elimu cha huyo anayesema moshi wa herikopta una athari kiafya
 
ccm ni chama cha kishamba sana tena kilichochoka na kuoza , kinatoa funza ! Aibu sana .
 
Back
Top Bottom