Umeshajiuliza na UKAWA kwanini wanasema katiba hii si nzuri na kuwaambia wananchi wapige kura ya hapana?
Hang over imekunyima usingizi ukakurupukia key boardNdugu wana-jf,ninajiuliza maana ya kauli hizi za viongozi wa ccm ikiongozwa na Rais,pale aliposema"KATIBA HII NI NZURI WANANCHI MUIPIGIE KURA YA NDIO".hii inatoa tafsiri gani?nijuavyo mimi katiba pendekezwa inatakiwa iletwe kwa Wananchi,kila mmoja apewe nakala yake na apate muda wa kisoma ili aweze kutoa maamuzi sahihi.Sasa nawauliza viongozi wa CCM mnaopanda majukwaani na kuipigia debe katiba pendekezwa;mnadhani mnafanya sahihi wakati bado hata wananchi hawajaisoma?swali linakuja;Kwani mnawasiwasi gani mpaka mnaanza kuipigia debe katiba hiyo ikiwa kama imezingatia maoni yaliyotolewa na wananchi?nawaombeni sana,Tanzania ya mwaka 1977 sio Tanzania ya leo!mmezoea kudanganyadanganya umma bila kutumia akili sasa mnaishia kubaya!Tumieni japo akili ili muendelee kijenga heshima ya Taifa letu kwani Tanzania si ya Chama chochote bali ni ya Watanzania.
Umeshajiuliza na UKAWA kwanini wanasema katiba hii si nzuri na kuwaambia wananchi wapige kura ya hapana?
Katiba hii ni ya wananchi. Lazima ipigiwe kura ya ndio ipite
Ukawa imeshakufa imebaki kutapatapa na uraisYes ukawa wanasema ipigwe kura ya hapana since mawazo yaliyokusanywa kwa wananchi yametupiliwa mbali hususani tunu za taifa zinazolinda maadili ya viongozi, pia ni rasimu ni batili since akidi haikutimia baada ya sitta kuforge hadi majina ya waliokufa.
1.asilimia 50 ya wanawake na wanaume ktk madaraka hususan ktk siasaNiambie mambo matatu ambayo ni mazuri na mapya ambayo hayakuwemo kwenye katikba ya 1977, na mimi nitakuambia mambo 10 yanayoifanya katiba mpya pendekezwa isitahilishe sita na tume yake kufunguliwa mashitaka ya ugaidi.
Naomba uje na majibu si matusi na ushabiki
1.asilimia 50 ya wanawake na wanaume ktk madaraka hususan ktk siasa
2. haki za wakulima,wafugaji kutambuliwa rasmi kikatiba hatua itakayosaidia kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji na kuwawezesha kupata mikopo na kuboresha kilimo na ufugaji wao.
3. rais wa zanzibar kuwa makam wa rais hatua itakayoimarisha muungano mara dufu
4.uhuru wa vyombo vya habari kutambuliwa rasmi kisheria na zaidi haki za wasanii
Kwahiyo wewe unataka nini,usitumie neno wazanzibar tena koma kabisa sema wewe na chagadema yako hakuna mzanzibar anayepinga katiba inayopendekezwa ukiacha malimu sefu ambaye ni wakala wa sultani wengi wote wanaiunga mkono katiba.Kabla sijaendelea:-
1. Hiyo asilimia 50 kwa hamsini inatija gani katika maendeleo ya taifa? Unaelewa maana na tafsiri yake halisi hasa ukizingatia viwango vye elimu ya Tanzania kwa sasa?
2. Kutajwa kwa haki za makundi maalumu yakiwemo uliyoyaorodhesha hapa 2 na 4 kunatazamiwe kuleta matokeo gani ya tofauti ikiwa mbele ya kuyataja, katiba pendekezwa imestipulate "...Hakutakuwa na MAHAKAMA WALA CHOMBO KINGINE CHOCHOTE CHA KISHERIA KITAKACHOSIMAMIA UPATIKANAJI AMA UKOSEKANAJI WA HAKI HIZO". ? Wewe hili kwako lina maana gani? Ni kwa namna gani hizo haki zitasimamiwa na kupatikana ikiwa "kuzidai popote ni kukiuka katiba? Huoni kwamba zimeorodheshwa tu kwa hila ili kuwanyamazisha wapiga kelele lakini hakuna lengo wala nia ya kuwapatia haki hizo? Na tena hii ni moja wapo ya matatizo 10 ya katiba ninayokwenda kukuorodheshea. Kwamba katiba ya 1977 ilikuwa kimya juu ya haya, lakini sasa hii pendekezwa, imeorodhesha na kuzuia kisheria haki ya kudai kwa haki hizo ili pasiwe na wapiga kelele tena. Kila aliyeorodheshwa hapo atakapokuwa anapiga kelele kudai haki hizo atakuwa ana commit constitutional offence!.. Sasa wasanii, walevamvu, wavuvi, waandishi, wafugaji, n.k, marufuku kupiga makelele ya kudai haki!. Cheki huo mziki!.
3. Raisi wa Zanzibar kuwa makamu wa raisi, litaimarisha muungano mara dufu ikiwa tu tatizo la muungano ni mgawanyo wa madaraka ya uongozi wa nchi na kwamba Zanzibar inakubali kuwa kwenye subordinate position ya kutoka makamu wa raisi bila kuwa na uwezekano wa kutoa raisi milele. Matatizo ya muungano hayalalamikisi sana bara kwa sababu ya udogo wa zanzibar na hivyo kudhirisha athari zake kwa Tanganyika.
Hili liko dhahiri, Wanzanzibar hawajaridhika na solutions zilizochorwa kwenye rasimu ya ccm kwa sababu hazija adress matatizo yao halisi kwa upana wake ambayo essentially ni ya kiutamaduni zaidi.
Kwa mantiki hii, ikiwa kutoa makam wa raisi milele ndilo hitaji la wazanzibar, basi ni haki kwa ccm kuifanya zanzibar koloni lao milele kwa sababu hawajitambui kitu ambacho si kweli.
Nasubiri mchango wako, ili sasa nianze kukuorodheshea yale masuala kumi niliyosema nayo tuyajadili.
UKAWA wako sawa kwani maoni mengi yaliyotolewa na wananchi kuhusu namna wanavyotaka kuongozwa na viongozi wao yametupwa na hasa yale yaliyotufanya kudai katiba mpyaUmeshajiuliza na UKAWA kwanini wanasema katiba hii si nzuri na kuwaambia wananchi wapige kura ya hapana?
Yaani kweli mnajiaibisha hamna cha kutetea kwenye katiba kwa hoja dhidi ya jazba na kejeli. Ndio maana mnasema watu wasisomewe waelewe wenyewe lakini nyinyi mnataja vifungu kama haki za wakulima, wafugaji, wasanii nk, kama gia ya kuwachanganya wananchi wenye uelewa mdogo. Nilitarajia ungetoa ufafanuzi wa hizo haki na wapi katiba pendekezwa inataja wataweza kuzidai. Halafu sio wewe tu ambaye umepewa jukumu humu jamvini kutetea hiyo aibu bali hata hao wajumbe wa BMk hawajitokezi kutoa ufafanuzi wa haya maswali, bali wamebaki kusema katiba ni nzuri sana imewalenga wananch, na udhaifu huu wa kuitetea hii aibu na hila ya ccm uko kwenu wote kuanzia Rais, wajumbe wote wa Bmk kasoro wa kura za hapana hawatoi ufafanuzi wa vifungu hivi mnavyoita vizuri. Sasa kama ni vizuri na hamuwezi kuvitolea ufafanuzi je hivyo vibaya itakuwaje. Andaeni jeshi kupiga watz kupitisha huu upuuzi maana hautapita kwa utashi wa wananchi.Kwahiyo wewe unataka nini,usitumie neno wazanzibar tena koma kabisa sema wewe na chagadema yako hakuna mzanzibar anayepinga katiba inayopendekezwa ukiacha malimu sefu ambaye ni wakala wa sultani wengi wote wanaiunga mkono katiba.
Wewe utakuwa si mzimaHang over imekunyima usingizi ukakurupukia key board
Umeshajiuliza na UKAWA kwanini wanasema katiba hii si nzuri na kuwaambia wananchi wapige kura ya hapana?