Mumuwache huyooo tunamuhitaji mjengoniBona wa Segerea kagawa rushwa kama anagawa uroda 50 million. watu wanasema eti aachwe kwa vile ana shepu.
Chakula ya Wazito huyo, inabidi arudi tu kwa faida ya WazitoBona wa Segerea kagawa rushwa kama anagawa uroda 50 million. watu wanasema eti aachwe kwa vile ana shepu.
Wazinzi bana!Mumuwache huyooo tunamuhitaji mjengoni
Ova
hebu muweke hapa sura yake tumsaminishe kama anafaa kwa chakulaBona wa Segerea kagawa rushwa kama anagawa uroda 50 million. watu wanasema eti aachwe kwa vile ana shepu.
Mkuu, rekebisha kidogo kwa kusema "kuanzia udiwani mpaka nafasi ya uraisi" kwa kuwa kile kitendo cha kutoa fomu moja kwa mtia nia pekee apeperushe bendera ya chama, ni sawa kabisa na kitendo cha rushwa, kwa kuwa ni kinyume na katiba ya chama.Yaani chaguzi zenu zote kuanzia udiwani hadi ubunge majimbo na viti maalum washindi kila mahali inasemekana zimetawaliwa na rushwa na haya yanathibitishwa na wajumbe wenyewe waliopokea milungula hiyo. TAKUKURU ni kama hawajaona hivi, ni kama wanaogopa hivi.
Waombeni TIS wawasaidie Kama hamuelewi.
Wenye uwezo wa kiakili na kiuongozi na wenye uzoefu wameshindwa na wenye pesa. Fanyeni uchunguzi katika kila jimbo.
Sikiliza hii vidio,
Sio rahisi kuitenganisha ccm na rushwa ipo kwenye katiba yaoYaani chaguzi zenu zote kuanzia udiwani hadi ubunge majimbo na viti maalum washindi kila mahali inasemekana zimetawaliwa na rushwa na haya yanathibitishwa na wajumbe wenyewe waliopokea milungula hiyo. TAKUKURU ni kama hawajaona hivi, ni kama wanaogopa hivi.
Waombeni TIS wawasaidie Kama hamuelewi.
Wenye uwezo wa kiakili na kiuongozi na wenye uzoefu wameshindwa na wenye pesa. Fanyeni uchunguzi katika kila jimbo.
Sikiliza hii vidio,
Hata ikiletwa hiyo sheria yakunyonga haitafanya kazi, kwa sababu watoaji/wapokeaji wa rushwa ni hao hao watungaji na wasimamiaji wa sheria. Mzee JK Nyerere aliwahi kusema ikithibitika mahakamani kwamba mtu ametoa/amepokea rushwa, anakwenda jela na viboko 12. Viboko 6 wakati anaingia na 6 siku akitoka ili akamunyeshe mkewe. Hiyo ni adhabu kali sana, lakini hatuoni utekelezaji.MKITAKA NCHI RUSHWA IONDOKE AU IPUNGUE KWA KIASI KIKUBWA, ITUNGWE SHERIA KALI YA KUNYONGA YAH MTU AKIPATIKANA ANATOA RUSHWA AMA KUPOKEA.... BILA HIVYO MTAKUWA MNAPAKA RANGI UPEPO TU
ova
Mate & Ulimi!!!🙄😎Sio rahisi kuitenganisha ccm na rushwa ipo kwenye katiba yao
CCM kinanuka rushwa kwa kiwango ambacho hakijatokea tangu 1954.Yaani chaguzi zenu zote kuanzia udiwani hadi ubunge majimbo na viti maalum washindi kila mahali inasemekana zimetawaliwa na rushwa na haya yanathibitishwa na wajumbe wenyewe waliopokea milungula hiyo. TAKUKURU ni kama hawajaona hivi, ni kama wanaogopa hivi.
Waombeni TIS wawasaidie Kama hamuelewi.
Wenye uwezo wa kiakili na kiuongozi na wenye uzoefu wameshindwa na wenye pesa. Fanyeni uchunguzi katika kila jimbo.
Sikiliza hii vidio,