Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Nakusikitikia sana. Majibu yako yanaonesha wazi kuwa kipindi somo la "kufikiria" linafundishwa darasani, wewe ulikuwa chooni umejificha.Kwanini usifikirie wao kutumia midomo two kupitia napiga kura, unakimbilia rushwa n.k. tu
Ndio namna pekee. Haijawahi tokea chama kisipingwe 100% panapo demokrasia.Kwanini usifikirie wao kutumia midomo two kupitia napiga kura, unakimbilia rushwa n.k. tu
Duh Kuna SoMo kufikiria liko level gani hapa kwetu TanzaniaNakusikitikia sana. Majibu yako yanaonesha wazi kuwa kipindi somo la "kufikiria" linafundishwa darasani, wewe ulikuwa chooni umejificha.
Na wewe ni wale wale. Ulijificha chooni.Duh Kuna SoMo kufikiria liko level gani hapa kwetu Tanzania
Na wewe ni wale wale. Ulijificha chooni.
Somo la kufikiria lipo kila level, ShariaE. Umakini wako tu ndiyo utakufanya ujue somo la kufikiria lipo, sio shuleni tu, ila hata kwenye maisha yetu ya kila siku.sawa mkuu, sio mbaya ila nilipenda nijue liko level gani kielimu Hilo SoMo, huenda sjaifikia hio level
Akhsante, nimekuelewa.Somo la kufikiria lipo kila level, ShariaE. Umakini wako tu ndiyo utakufanya ujue somo la kufikiria lipo, sio shuleni tu, ila hata kwenye maisha yetu ya kila siku.
Tatizo mfumo wa elimu tulioupata wa Tanzania wengi ni ule unaohamasisha kukariri na ndiyo maana sishangai kuwa wengi wetu huwa hatufikirii ila tunakariri tu.
Kwa lugha nyepesi, Kufikiria ni somo ambalo ulifundishwa kuanzia nyumbani hadi leo ila linahitaji umakini tu kujua unafunzwa kufikiria. Naamini umenielewa sasa.
Kwani rushwa ni kitu kigeni kwa ccm? Kuna mtu anakatia bima watu leo kwanini hakuwakatia 2016 ?Kwanini usifikirie wao kutumia midomo two kupitia napiga kura, unakimbilia rushwa n.k. tu
Ukonga mbona mmelitelekezaWale wananchi wa Kigoma na majimbo mengine chini ya upinzani tunataka kuyarudisha kundini nao wapate maendeleo kwa kasi kama wanyonge wenzao chini ya CCM. Hamuoni majimbo yaliyo chini ya CCM yalivyopiga hatua kimaendeleo chini ya chama cha wanyonge CCM?. CCM ni chama cha wanyonge hivyo lazima tuhakikishe wanyonge wote wanakuwa CCM.
ngoja uone movie this round mtawaona watu The Hague wakiwa na mwanasheria wao Palamagamba Kabudi.Bila #Tume huru ya uchaguzi
Nitashangaa vyama vya upinzani vikishiriki huu uchaguzi, itakuwa ni kuubariki uovu wa kisiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app