Bulembo: Tutayapata majimbo upinzani Kigoma kwa gharama yoyote

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,242
2,000
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Abdallah Bulembo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakitakubali kuyakosa tena majimbo ya Mkoa wa Kigoma yanayoongozwa na upinzani, kwamba watayapata kwa gharama yoyote katika uchaguzi ujao

Bulembo ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma ametoa kauli hiyo wakati akitangaza matokeo ya uchaguzi wa mkoa wa Kigoma wa kumchagua mwenyekiti wa mkoa huo, na kuwataka viongozi wa chama hicho mkoa wa Kigoma kuwafichua watendaji na wakurugenzi ambao hawafuati utekelezaji wa ilani ili watolewe.

"Serikali ni ya Chama cha Mapinduzi, waliopo chini ya serikali wanaitumikia serikali na kutekeleza ilani yetu, kama kuna watendaji au mkurugenzi hafuati utekelezaji wa ilani tutawatoa, hatuwezi kukubari tuyakose majimbo haya, tunayataka kwa gharama yoyote ile," alisema Burembo.

Mojawapo ya majimbo mkoani Kigoma yanayoongozwa na upinzani ni Jimbo la Kigoma mjini linaloshikiliwa na Chama cha ACT-Wazalendo, ambalo mbunge wake ni Zitto Kabwe.

Chanzo: Nipashe
 
bridalmask

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
2,196

END OF THINKING CAPACITY A.K.A ZERO BRAIN.
UCHAGUZI UKIWA HURU NA WA HAKI CCM HAMNA CHENU TOKA ZAMANI NI WEZI WA USHINDI NA KURA.
LETENI TUME HURU UJE UONGEE UPUUZI HUU MUONE BILA KUTEGEMEA VYOMBO VYA DOLA CCM NI WALAINI KUPITA MAINI.
HUYU ANAONGEA TU KWAKUWA NI FAILURE IN CLASS, MUDA UTASEMA HUU UBABE WA KIHUNI KUISHA.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,433
2,000
Hapo kwenye rangi ikiwemo kutumia visu, mapanga, marungu, mitutu ya bunduki in short wako tayari kuua ili kupora ushindi. Hizi kauli zimejaa kibri cha kustaajabisha sana.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Abdallah Bulembo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakitakubali kuyakosa tena majimbo ya Mkoa wa Kigoma yanayoongozwa na upinzani, kwamba watayapata kwa gharama yoyote katika uchaguzi ujao

Bulembo ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma ametoa kauli hiyo wakati akitangaza matokeo ya uchaguzi wa mkoa wa Kigoma wa kumchagua mwenyekiti wa mkoa huo, na kuwataka viongozi wa chama hicho mkoa wa Kigoma kuwafichua watendaji na wakurugenzi ambao hawafuati utekelezaji wa ilani ili watolewe.

"Serikali ni ya Chama cha Mapinduzi, waliopo chini ya serikali wanaitumikia serikali na kutekeleza ilani yetu, kama kuna watendaji au mkurugenzi hafuati utekelezaji wa ilani tutawatoa, hatuwezi kukubari tuyakose majimbo haya, tunayataka kwa gharama yoyote ile," alisema Burembo.

Mojawapo ya majimbo mkoani Kigoma yanayoongozwa na upinzani ni Jimbo la Kigoma mjini linaloshikiliwa na Chama cha ACT-Wazalendo, ambalo mbunge wake ni Zitto Kabwe.

Chanzo: Nipashe
 
Eternal_Life

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
814
1,000
Gharama yoyote ehe?!!! Hawa jamaa wako tayari wamwage hata damu!!!Ingekuwa ni upinzani wameongea ivyo ungesikia ni uchochezi.Ila sishangai maana kama chama kinaongozwa na Shetani Mkuu unategemea nini,kweli wako tayari kufanya lolote.
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,351
2,000
"Kwa gharama yeyote, pesa ikishindwa, DAMU"

Hilo ni neno tu la Kisiasa Kama Mbowe aliposema tutalinda kura zetu kwa gharama yoyote ile lakin Siku ya kupiga kura hata kukaa mita Mia Tano waliogopa
 
Muyobhyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
8,162
2,000
Huyu si alisema kuwa ubunge upinzani mtapata ila kuingia ikulu katu hatutaweza kuwaachia hata mkishinda, kipindi kile cha kampeni 2015
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom