Raelish
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 489
- 162
CCM ni chama tawala kwa sasa tena ni chama kilichodumu kwa muda mrefu madarakan bila kung'oka iwe kwa sababu hii au nyingine inapaswa kusifiwa kuwa ni chama IMARA miaka ya 90's vyama ving vikazaliwa pamoja na CHADEMA ambacho kwa sasa ni chama kilichopo katika midomo ya watu iwe kiuzuri au kiubaya.
Kuna njama zilzowahi kufanywa na CCM kutaka kukipoteza CHADEMA lakini mara kadhaa njama ziligundilika na kushindwa vibaya huku wananchi masikio yao yakapata kusikia yote namna CHADEMA ilivyoshinda.
Bado CCM wanaendeleza mbinu hizo kwa kutoa matamko kuhusu Zitto,kuonesha kuwa MBOWE,SLAA na CHADEMA kiujumla haikubaliki,na hata kutafuta mbinu ya kuchafua mikutano ya CHADEMA.
JAMAN CCM wananchi wanajua kuwa ni mbinu za CCM hizo na hata ikiwa kweli hawataamini kwa sababu walishuhudia mkishindwa mbele ya CHADEMA kwa mbinu hizo...'CCM KUENDELEZA MBINU HIZO NI KUJIMALIZA WENYEWE' jengeni barabara,wapeni wananchi mlichoahidi na hiyo ndo dawa ya kuimaliza CHADEMA, kuendelea kutumia mbinu zlizoshndwa huko nyuma ni kuendeleza KUSHINDWA.
Nakupenda sana TANZANIA yangu