CCM mnajimaliza wenyewe

Raelish

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Messages
492
Likes
6
Points
35
Raelish

Raelish

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2013
492 6 35
CCM ni chama tawala kwa sasa tena ni chama kilichodumu kwa muda mrefu madarakan bila kung'oka iwe kwa sababu hii au nyingine inapaswa kusifiwa kuwa ni chama IMARA miaka ya 90's vyama ving vikazaliwa pamoja na CHADEMA ambacho kwa sasa ni chama kilichopo katika midomo ya watu iwe kiuzuri au kiubaya.

Kuna njama zilzowahi kufanywa na CCM kutaka kukipoteza CHADEMA lakini mara kadhaa njama ziligundilika na kushindwa vibaya huku wananchi masikio yao yakapata kusikia yote namna CHADEMA ilivyoshinda.

Bado CCM wanaendeleza mbinu hizo kwa kutoa matamko kuhusu Zitto,kuonesha kuwa MBOWE,SLAA na CHADEMA kiujumla haikubaliki,na hata kutafuta mbinu ya kuchafua mikutano ya CHADEMA.

JAMAN CCM wananchi wanajua kuwa ni mbinu za CCM hizo na hata ikiwa kweli hawataamini kwa sababu walishuhudia mkishindwa mbele ya CHADEMA kwa mbinu hizo...'CCM KUENDELEZA MBINU HIZO NI KUJIMALIZA WENYEWE' jengeni barabara,wapeni wananchi mlichoahidi na hiyo ndo dawa ya kuimaliza CHADEMA, kuendelea kutumia mbinu zlizoshndwa huko nyuma ni kuendeleza KUSHINDWA.

Nakupenda sana TANZANIA yangu
 
Raelish

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Messages
492
Likes
6
Points
35
Raelish

Raelish

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2013
492 6 35
hayo ni mawazo yangu sijawekea akili na mtu yoyt
 
manning

manning

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,528
Likes
116
Points
160
manning

manning

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,528 116 160
Mawazo yako ni mazuri sana ila unamsimlia maiti, usitegemee majibu wala mabadiliko. Mungu kawapa moyo mgumu kama alivyopewa Farao. Na hatima yake wana wa Izrael walirudi kwao.
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
15,749
Likes
8,213
Points
280
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
15,749 8,213 280
Mawazo yako ni mazuri sana ila unamsimlia maiti, usitegemee majibu wala mabadiliko. Mungu kawapa moyo mgumu kama alivyopewa Farao. Na hatima yake wana wa Izrael walirudi kwao.
Na hatima ya yote watanganyika tutakuwa huru toka makaburu ccm.
 
mwakatobepeter5

mwakatobepeter5

Senior Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
131
Likes
31
Points
45
mwakatobepeter5

mwakatobepeter5

Senior Member
Joined Dec 5, 2013
131 31 45
poa upo safi na sawa.
 
G

Geofrey Andrew Sanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Messages
251
Likes
3
Points
35
G

Geofrey Andrew Sanga

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2013
251 3 35
Uhuru ni laxima aisee tena mda si mrefu maana kina cha kaburi walilojichimbia magamba ni kirefu cha kutosha kiasi kwamba wanaingia woooote hadi watoto na wajuukuu zao
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,600
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,600 280
Huwezi kuanza kugonga viroba kabla ya chai halafu useme unaweza kufikili vizuri pole jitazame vizuri.
 
CHOMBEZA

CHOMBEZA

Senior Member
Joined
Oct 27, 2011
Messages
129
Likes
0
Points
0
CHOMBEZA

CHOMBEZA

Senior Member
Joined Oct 27, 2011
129 0 0
CCM ni chama tawala kwa sasa tena ni chama kilichodumu kwa muda mrefu madarakan bila kung'oka iwe kwa sababu hii au nyingine inapaswa kusifiwa kuwa ni chama IMARA miaka ya 90's vyama ving vikazaliwa pamoja na CHADEMA ambacho kwa sasa ni chama kilichopo katika midomo ya watu iwe kiuzuri au kiubaya.

Kuna njama zilzowahi kufanywa na CCM kutaka kukipoteza CHADEMA lakini mara kadhaa njama ziligundilika na kushindwa vibaya huku wananchi masikio yao yakapata kusikia yote namna CHADEMA ilivyoshinda.

Bado CCM wanaendeleza mbinu hizo kwa kutoa matamko kuhusu Zitto,kuonesha kuwa MBOWE,SLAA na CHADEMA kiujumla haikubaliki,na hata kutafuta mbinu ya kuchafua mikutano ya CHADEMA.

JAMAN CCM wananchi wanajua kuwa ni mbinu za CCM hizo na hata ikiwa kweli hawataamini kwa sababu walishuhudia mkishindwa mbele ya CHADEMA kwa mbinu hizo...'CCM KUENDELEZA MBINU HIZO NI KUJIMALIZA WENYEWE' jengeni barabara,wapeni wananchi mlichoahidi na hiyo ndo dawa ya kuimaliza CHADEMA, kuendelea kutumia mbinu zlizoshndwa huko nyuma ni kuendeleza KUSHINDWA.

Nakupenda sana TANZANIA yangu
Huwezi siasa ww kaa chini poor topic
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,600
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,600 280
Kwahiyo mawe na zomeazomea iliyomkuta mzee slaa ameletwa na ccm kule kigoma basi kweli ccm noma mtagota tu.
 
Hakuna unachojua hata kimoja kanywe uji ulale.
 
A

adolay

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2011
Messages
8,233
Likes
4,459
Points
280
A

adolay

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2011
8,233 4,459 280
CCM ni chama tawala kwa sasa tena ni chama kilichodumu kwa muda mrefu madarakan bila kung'oka iwe kwa sababu hii au nyingine inapaswa kusifiwa kuwa ni chama IMARA miaka ya 90's vyama ving vikazaliwa pamoja na CHADEMA ambacho kwa sasa ni chama kilichopo katika midomo ya watu iwe kiuzuri au kiubaya.

Kuna njama zilzowahi kufanywa na CCM kutaka kukipoteza CHADEMA lakini mara kadhaa njama ziligundilika na kushindwa vibaya huku wananchi masikio yao yakapata kusikia yote namna CHADEMA ilivyoshinda.

Bado CCM wanaendeleza mbinu hizo kwa kutoa matamko kuhusu Zitto,kuonesha kuwa MBOWE,SLAA na CHADEMA kiujumla haikubaliki,na hata kutafuta mbinu ya kuchafua mikutano ya CHADEMA.

JAMAN CCM wananchi wanajua kuwa ni mbinu za CCM hizo na hata ikiwa kweli hawataamini kwa sababu walishuhudia mkishindwa mbele ya CHADEMA kwa mbinu hizo...'CCM KUENDELEZA MBINU HIZO NI KUJIMALIZA WENYEWE' jengeni barabara,wapeni wananchi mlichoahidi na hiyo ndo dawa ya kuimaliza CHADEMA, kuendelea kutumia mbinu zlizoshndwa huko nyuma ni kuendeleza KUSHINDWA.

Nakupenda sana TANZANIA yangu

Nice comment in red, lakini kwasababu ccm ni mafisadi na hawawezi kufanya ulinyoshauli, kwao kudidimiza haki, usawa na

amani ndicho wanachoweza
ni ujinga na upumbav.u wa hali ya juu mtu anaposhindwa kutekeleza ahadi zake

mwenyewe
nakuanza kupotosha umma na kusingizia chadema. ccm watakuwa na mwisho mabaya sana hapo baadaye.
 
Lighondi

Lighondi

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
585
Likes
18
Points
35
Lighondi

Lighondi

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
585 18 35
Zaidi wa watanzania milioni14 hawajui kusoma wala kuandika

Source: Redio one taarifa ya habari saa nne kamili leo tar 8 Dec 2013.

Tumethubutu tumeweza na tunasonga mbele.
 
khalidikhamisi

khalidikhamisi

Senior Member
Joined
Nov 1, 2013
Messages
124
Likes
0
Points
33
khalidikhamisi

khalidikhamisi

Senior Member
Joined Nov 1, 2013
124 0 33
hilo ni sikio la kufa halisikii dawa. chadema ni mpango wa mungu kunusuru tanzania nawatu wake.
 
Said Bagaile

Said Bagaile

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
686
Likes
3
Points
0
Said Bagaile

Said Bagaile

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2011
686 3 0
Huwezi kuanza kugonga viroba kabla ya chai halafu useme unaweza kufikili vizuri pole jitazame vizuri.
Je Mwampamba aligonga nini kabla hajajivua nguo na msaliti mwenzie hapa?;

QUOTE=pcm;8030034]NINAVYOMFAHAMU ZITTO ZUBER KABWE
-KILIO CHA USALITI (Sehemu ya Jina Langu ni MTELA ALLAM MWAMPAMBA mwanachama mchanga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

Nikiwa ni Mwanachama wa CCM, nimeapa kwa Imani ya Chama Changu kuwa NITASEMA KWELI DAIMA NA FITINA KWANGU MWIKO. Kiapo hiki ni ndani ya Chama Changu, Serikali yangu na mbele ya Jamii yangu.

Kwa kuwa LENGO langu si KUFITINISHA wala KUJIHUSISHA NA CHAMA CHAKE, Nitabainisha (kwa Ufupi) namna ninavyomfahamu ZITTO ZUBER KABWE, tena ikibidi nitabainisha kinagaubaga na wazi wazi (kama italazimu kufanya Hivyo) kiasi Umma ubaini ni nani ZITTO ZUBER KABWE ndani ya Chama mjenzi, nguzo, mhimili ama mhujumu chama. Nafanya hivyo kwa lengo la kutetea maslahi ya Kitaifa, maana watu hawa wanabeba nembo na sura ya Utaifa, na ni ubaya ulioje watu wasio na DHATI ya kiutawala kuaminiwa katika Utawala. Na kwa bahati mbaya katika taarifa hiyo nimetajwa tena kwa jina langu kamili, hivyo jukumu la kunyoosha maelezo ya ZITTO ni la msingi na lenye msukumo Binafsi (Si chama Changu kwa namna yeyote) Ni kwa

SEHEMU HII YA KWANZA: Nakubaliana kabisa na Zitto kuwa hakukuwa na kikao ambacho kilitukutanisha Sisi Wanne pamoja, pale LUNCH TIME,hayo ni ya mwandishi mwenyewe, maana Mimi si chanzo chake. Lakini hiyo hainamaanishi kwamba sisi hatukuwa tukikutana.

Kama pamoja na yote ambayo yaliyopita na yanayoendelea CHADEMA hadi hivi sasa bado yupo anayeamini maneno ya ZITTO kuwa hamfahamu BEN SAANANE na kuwa anaweza kupishana nae njiani bila kumtambua na aendelee kuamini hivyo lakini nasema hiyo ni too much of exaggeration on his expressions.

kuondoka kwangu na wengine ni kafara ya jambo hilo. Kuna mambo si sahihi kuyaeleza kiundani na hadharani kwasababu tuliambizana na kupanga kwa Usiri na Kuaminiana, hatujafikia hatua hiyo ya kuuvunja hata Uamini tuliopeana kwa Viapo ila kama tutaendelea na maneno ya namna hii na UZANDIKI,

Karata yako ya mwisho inayo-determine maisha yako kama mwanachadema iko mikononi mwetu, Please brother, Don’t mess with your last poker chip, will lose the game. Kauli yangu Moja ya Ushuhuda inamaliza Uhai wako ndani ya Chadema.,

Mwisho kabisa katika signature yako ya JF umetumia nukuu ya Mwalimu Nyerere kwenye kitabu chake cha TUJISAHIHISHE cha mwaka 1962 mwaka mmoja baada ya Uhuru, kuwa UKWELI haupendi kupuuzwa puuzwa, soma tena kitabu hicho upate hazina ya mawazo ya kiutawala na uondokane na UNAFSI kwa tafsir ya Mwalimu Nyerere ya neno hilo katika kitabu hicho.[/QUOTE]

HAPO MTU UTAONGEZA NINI ZAIDI!?
 
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Messages
6,900
Likes
356
Points
180
Age
34
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2012
6,900 356 180
Huwezi kuanza kugonga viroba kabla ya chai halafu useme unaweza kufikili vizuri pole jitazame vizuri.
Utakuwa umerogwa si bure.sijawahi ona janaume bwe.ge kama wewe! hata wazazi wako hawana cha kujivunia juu yako.umekubali kutumika na kuuvua utu wako kwa bei ndogo sana.wewe ni wa kuhurumiwa tu na utakufa kwa aibu kuu!
 
Raelish

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Messages
492
Likes
6
Points
35
Raelish

Raelish

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2013
492 6 35
Huwezi siasa ww kaa chini poor topic
Mkuu mi napenda sana kukosolewa kuliko kusifiwa,kwa sababu kukosolewa kunakufanya ujitahd na uwe mzuri zaid,ahsante Mkuu nitajitahd
 
Raelish

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Messages
492
Likes
6
Points
35
Raelish

Raelish

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2013
492 6 35
Huwezi kuanza kugonga viroba kabla ya chai halafu useme unaweza kufikili vizuri pole jitazame vizuri.
Mkuu ukiona kitu unakipenda mpaka kushindwa kukikosoa hadi pale kinapokosea ujue we ni mtumwa wa hicho kitu na tena utalazimika kukiabudu na hiyo inakuwa tayari ibaada ya sanamu,sanam inaweza ikawa ni mke,chama,kazi n.k,kuwa huru kifikra tumia elimu na ujuzi wako kujikomboa na kuikomboa jamii...
 
Forum statistics

Threads 1,251,625
Members 481,811
Posts 29,778,120