Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,617
- 39,974
Ni kichaa tu atakayewaunga mkono Kwa matamko yenu yasiyotoa suluhisho Kwa tatizo la utekaji.
Ni Machawa wenu wasio na impact mliowaswaga wamjibu Gwajima Kwa Jambo ambalo wananchi wote wanaliona na nyie wenyewe mnaona lipo na linazidi kukomaa.
Pia soma Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Wameshambuliwa, kutekwa, kupotezwa na pengine Kuuawa watu maarufu na wengine hata wanaCCM lakini nyie mnafanya mzaha na maisha ya watu mnajifanya mnampenda Rais wakati Hakuna hata mmoja wenu anayeona uchungu Uhai wa Watanzania unapotolewa.
Mtanzania akiuawa CCM kimyaaa, Mtanzania akiibuka kuhoji CCM hawa hapa. Mkiitwa wauaji/watekaji/washambuliaji mnafit humo.