nimecheka kwa uchungu mkubwa sana juu ya hili!Samaki wa magufuli mmewakamata..hadi leo hakuna faida yeyote!! Gharama za kuawatunza...Kuna faida gani hapo?
Gharama Tuna so pata sasa Kuzalisha umeme!! kwa siku inatosha ku nunua Solar pannel nyingi kila siku!!..
Hivi kweli mnajua mnayo yafanya?
sio!!
Nimechoka maisha yanazidi kua magumu!!
nimecheka kwa uchungu mkubwa sana juu ya hili!
Lazima ucheke bwashee kwa kuwa si engo yako. Kweli CCM yajenga nchi!
maeneo haya huwa napita nascrol scroll kimtindo then huyooooo nasepa!, hukawii kuambiwa THIBITISHA!!
Wana mbinu za kisasa za wizi wa kuraMimi kinachoniudhi ni kwamba kila siku tunalalamika juu ya hii serikali ya ccm,lakini zikitokea chaguzi tuu,wanarudi hao hao madarakani,hapa tunapaswa tumsake mchawi,nahisi humuhumu ktk wapinga ccm kuna wanafiki wanaotugeuka kipindi cha uchaguzi,haiwezekani robo tatu ya watanzania waone uovu unaofanywa na hawa watu alafu waendelee kututawala tuu,tuache unafiki,mapinduzi ya kweli ndio ngao yetu!!
Ni kweli sisi m yajengua nchi!Lazima ucheke bwashee kwa kuwa si engo yako. Kweli CCM yajenga nchi!
Na wakiiba tulaumu au tusilaumu?Si ajabu mtu akakosa msosi nyumbani kwake kwa uvivu wake akaanza kutoa lawama kwa CCM
Kwanini waibe ilhali kuna nafasi tele za kujiajili? Wizi ni mojawapo ya dalili za uvivu wa kutofanya kazi.Na wakiiba tulaumu au tusilaumu?
Kwa hiyo wale wote wanaoongoza wizi wa kura ndani ya Chama chako ni wavivu wa kutofanya kazi?! basi nimeshajua kwa nini sisi m imejaa watu wengi wanaoiba kura na mipesa ya watanzania! RA, EL, Chenge and ........Kwanini waibe ilhali kuna nafasi tele za kujiajili? Wizi ni mojawapo ya dalili za uvivu wa kutofanya kazi.