Duh Tax holiday ya miaka arubaini CCM ni wezi na wakwepaji wakubwa wa kodiBila shaka watakujibu kwamba nao ni wawekezaji wa ndani, wanahitaji tax holiday ili kuongeza kiwango cha uwekezaji.
Viwanja tumejenga wote lakini ccm wamevipora na kujibinafsishia, ila siku tukiikamata hii nchi basi wajue viwanja vimerudi kwa wenyewe wananchi.
Jamani kuna wenye ushahidi na hili jambo tulipandishe juu? hawa watu wamezidi kunyonya vya uma! na pia nashauri mikataba ya umiliki wa hivyo viwanja na pia majengo yote ya MAGAMBA ipitiwe upyaaaa!
wamewekwza au wamejimilikisha maeneo hili ni swala muhimu sana mkuu tena linapashwa kuvaliwa njuga na kama ni slaa basi ni la tija..Tax holiday ya CCM ktk umiliki wa viwanja na majengo ilishapita miaka mingi, therefore i hope this time around watawajibika kulipa billions za kodi.