CCM mkimzonga Dr Magufuli mjuwe chama kinaenda kufa

CCM mkimzonga Dr Magufuli mjuwe chama kinaenda kufa

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,278
Reaction score
14,335
Najuwa mwaweza ni beza ila Magufuli ni chachu ya watu kuanza kuipenda CCM japo wapo watu hawafurahii kazi yake. Ila ukweli utabaki kuwa ukweli. Magufuli amekuja kipindi taifa linamuitaji sana kumvunja moyo, kumtisha na kumzuwia kufanya kazi yake kwa maneno ya kichama nisawa nakujipiga risasi ya kichwa wenyewe.

Nivyema Magufuli akatiwa moyo nakupewa faraja kuliko kumzima kwa maneno na vitisho. Ninaimani kubwa Magufuli ni Rais wakipekee ktk Taifa letu na baada yake we must have new Tanzania. Maombi kumuombe Magufuli nilazima yafanyike taifa zima ili dunia na Mungu ajuwe wa Tz tumechohoka na ufisadi na manyanyaso ya wachache.

Mungu ibariki Tz.
 
Kama ni wao walimpitisha agombee urais
na wakampa ilani ya chama
why huwaamini wakimshauri?
 
Najuwa mwaweza ni beza ila Magufuli ni chachu ya watu kuanza kuipenda ccm japo wapo watu hawafurahii kaz yake. Ila ukweli utabaki kuwa ukweli. Magufuli amekuja kipindi taifa linamuitaji sana kumvunja moyo, kumtisha na kumzuwia kufanya kaz yake kwa maneno ya kichama nisawa nakujipiga risasi ya kichwa wenyewe. Nivyema Magufuli akatiwa moyo nakupewa faraja kuliko kumzima kwa maneno na vitisho. Ninaimani kubwa Magufuli ni Rais wakipekee ktk taifa letu na baada yake we must have new Tanzania. Maombi kumuombe Magufuli nilazima yafanyike taifa zima ili dunia na Mungu ajuwe wa Tz tumechohoka na ufisadi na manyanyaso ya wachache. Mungu ibariki Tz.
Your Right kila siku huwa Namuombea Mheshimiwa Rais Magufuli na wasaidzi wake Mungu awape afya njema na ulinzi dhidi ya maadui na wadhulumati na wote waliofsadi nchi hii...tayari jiwe limefka sehemu sahihi ndio maana tumeanza kuskia ohh isije kuwa ni majungu fatilia kabla ujafukuza kiukweli ata mtoto mchanga kwa uozo wa TRA na Bandarini lazima angachukua hatua tu huwez kuptsha makontena ya mabilioni ubaki tunajua maofisa wa TRA Na Bandari walikua wanapokea maelekezo ambayo yangeatarsha ajira zao sasa wawataje waliokua wanawapa vmemo. ..na pia kuna makampun yalijtangaza kufliska yachunguzwe ufsadi waliofanya bandarini wa kujigeuza agency bandarini na kulipsha wafanyabiashara nusu bei chna wao wakfka bandarini wanaptsha free washughulikiwe tujue kweli serikali ipo sriaz
 
Aisee..yan wakianza kumnyanyasa rais wetu wajiandae na
maandamano yasiyo na kikomo...na kuanzia hapo ndio tutaamini
hiki chama hakina nia njema na wananchi...na hawawezi...thubutuu..na hawawezi
kwani nao akili wanazo.
 
Ushauri wangu kwa Magufuli "Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako" ccm wamechoka! Ngome inasambaratishwa! Eti awe makini na teuzi! Hivi hao wezi wa tra mtu gani makini aliwateuwa? Haijawahi kutokea duniani rais ameabakiza masaa yanayohesabika lakini anakomaa na uteuzi isipokuwa hapa tanzania!
 
Awe makini kama JK msoga? aibu rais wa miaka kumu anashuka umaarufu chini ya zeto ndani ya mwezi mmoja wa kuondoka mararakani huku aking'ang;ania ikulu, na bado mwambieni asipite barabarani wananchi watampiga mawe na kumtupia mayai viza kama alivyotufanyie yeye, ajiandae kwenda Segeraa hakuna kupona haiwezekani wezi wote hao waliopewa ulaji na yeye kupitia kodi zetu watanzania waletwe na yeye halafu yeye apone, machozi ya watanzania yamefika katika kiti cha enzi, kupona hakupo kabisa, I cant wait for Rizwana and the group, waliomuonu mungu asiyena elimu sasa mavi deba, waliompa degree bila kupasi kwa kubadlishana na kuteuliwa Ujaji, Jaji Juma aibu historia inaandikwa leo, waliompa uwakili wakati hajawahi kuhudhuria licha ya kushinda hata kesi moja kimbembe kikubwa asante bwana mungu wa mbinguni hakika wewe si kiziwi umesikia kilio chetu, na wewe ni mungu wa haki, huna upendeleo, wow wow wow, waganga na wachawi wamepigwa, wakina Home Shopping center waliojidai eti wanajua pasipo elimu ya darasani, eti wanatangaza kufilisika ha ha ha haha, huo utumbo mpeni kikwete mwenye basic education, huyu wetu ana Phd tena ya chemistry, mnaisoma namba
 
Wakimlwtea mizengwe ahame Chama kokote atakapoenda au kuanzisha Chama chake kura nitampatia.
 
Nyinyi ukawa tulieni na mkubali kuwa ccm ilitoa jembe na ninyi garasa. Mlikuwa mkizunguka kumtukana magufuli leo mnajifanya kumtenga na ccm ha ha ha itabaki kuwa hivi. Mamvi ni chadema na magufuli ni ccm.
 
Nyinyi ukawa tulieni na mkubali kuwa ccm ilitoa jembe na ninyi garasa. Mlikuwa mkizunguka kumtukana magufuli leo mnajifanya kumtenga na ccm ha ha ha itabaki kuwa hivi. Mamvi ni chadema na magufuli ni ccm.

Tunaitambua na kuiunga mkono serikali ya magufuli sio serikali ya ccm,acha mambo ya uchama huu ni muda wa kuijenga nchi na anaeongoza mapambano anajua kabisa kua viongozi wa chama cha mapinduzi ndio walioruhusu uozo wote huu, muhimu ni kwamba warudishieni wakulima na wafanyakazi chama chao ili kirudishiwe imani na watanzania,kuliko kibaki kua chama cha wafanyabiashara waizi
 
Back
Top Bottom