technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Mijitu yaani bado haitaki kubadilika tu;!!Usiyemtaka anakuja
We vipi wewe si wajitokeze hadharani kwanini wanafanya figisufigisu gizan!??miccm bana! kwa kati ya wanachama wote hao ni magufuli tu anaweza kuongoza chama?! hapa utasikia gamba linasema ni utamaduni!
kwani makufuri pekee ndio mwenye vigezo vya kua mwenyekiti? kama katiba ya chama inaruhusu mtu yeyote mwenye vigezo kugombea kwanini wasigombee?? kama hutaki kukubaliana na katiba ya chama jivue uanachama..!!
Asante moto chini hawa jamaa ni wauni kupitilizaWao wafanye lolote
Ila Mwenyekiti ni MAGUFULI.
Kiukweli watu wanadhani mpango huo unasiri kwa sasa no,
Kama mnaona mmeumbuka
Ninyi tulieni
Sio kuja kukanusha kwa hoja za kitoto
Kwani ujui utaratibu wa chama ?? Kama unajua nyamaza!!kwani makufuri pekee ndio mwenye vigezo vya kua mwenyekiti? kama katiba ya chama inaruhusu mtu yeyote mwenye vigezo kugombea kwanini wasigombee?? kama hutaki kukubaliana na katiba ya chama jivue uanachama..!!
Ccm sio Chama cha sakosimiccm bana! kwa kati ya wanachama wote hao ni magufuli tu anaweza kuongoza chama?! hapa utasikia gamba linasema ni utamaduni!
Mafisadi watupu !!Kuna kitu watu hawataki kujifunza...leo sio jana. Wapambe wanajaribu kurusha karata yao ya mwisho maana baada ya mkutano mkuu hawana tena pakuchuma hela za bure na za udalali. Kila kona JPM amebana anataka mambo yaende kwa kunyooka
Hivi mara ya mwisho lini uchaguz wa Chadema ulifanyika na watu wakamchagua Mbowe kwa uhalali? Maana Zitto alipochomoza pua yake tu watu wakaikata kwa visingizio vya kukihujumu chama.Tetete...lumumba wanafukunyuana mafichoni. Ccm na siasa zenu chafu lini mkaendana nawaliowakweli. Sitshangaa mkmnyima uenyekiti wa chama. Nakwakuwa hajafuata taratibu za teuzi za kichama, mtamfutilia mbali.
Wewe acha ujinga Mimi nimetoa na maoni kuhusu kinachoendelea!!!Tetete...lumumba wanafukunyuana mafichoni. Ccm na siasa zenu chafu lini mkaendana nawaliowakweli. Sitshangaa mkmnyima uenyekiti wa chama. Nakwakuwa hajafuata taratibu za teuzi za kichama, mtamfutilia mbali.
Mkuu, Kama unawajua mwaga tu. This is JF we dare to talk openly. Hakuna kumnung'unya maneno. Waliosema kikulacho Kinguoni mwako siyo wajinga Mkuu walishayaona na wengine yalishawatokea. Wanafiki ndivyo walivyo wanakuja kwako wanajichekesha wakiitoka hapo wanaenda kupanga mbinu za kukumaliza. Katika maisha ogopa mtu mnafiki bora anayetoka anakuambia mapungufu yako live kuliko anayejifanya mwenzio kumbe ukiteka mgongo ana kung'ong'a.Juzi nilikuja hapa na kuelezea jinsi ya mbinu chafu upangwa !!! Kwa kutumia picha!!
Mbinu chafu upangwa na watu walele unaowaamini na kutembea nao kifua mbele !!!!
Leo hii mafisadi wana nguvu mpaka wamefikia kutaka kuhuju taarifa nzuri zinazompa taathari rais wa nchi Kichukua taadhari zaidi juu ya usalama wake ??
Mimi kama mwanachi wa kawaida kabisa siwezi kukubali kabisa ninayoyaona never never ukweli utabaki kuwa ukweli tu daima!!!
Yaani mnapanga kumkwamisha Rais asiwe mwenyekiti wa chama ili mumkata 2020?? Nani awe mwenyekiti sasa??
Mafisadi?? Au!!!
kweli mafisadi ya nchi hii kuna kazi sana
Sina haja ya kumtaja mtu yeyote anayeusika na mpangoo huu!!!!
Lakini lazima ukweli usemwe Kwa sababu Wanaotaka kumkwamisha rais asiwe mwenyekiti tunawaangalia tu kila siku wakizunguka mitandaoni uku wakiwa hawana hoja ya msingi kwanini hawataki ??
Wengi wao ni mafisadi
Au wanafadhiriwa na mafisadi mfano Benson Bana!!
Waliozoea kuishi na kupewa vya bure kupitia Mgogo wa Ccm!!
Kwa sababu nilileta Uzi hapa watu wakanishambulia bila kujua kwanini nilete vile na why??
Uzi ulikaa hivi
"" Magufuli chunga chupa za maji kuelekea Dodoma July 23" """
Lakini kwa vile mafisadi wana nguvu hata Uzi Uo uliondolewa baada ya masaa10 nilishangaa sana kuona jambo lile ina maana mafisadi tumewachekea mpaka wamefikia kuujumu Uhuru wa habari????
Leo hii lizabona anakuja na kuwasema wazi wazi wanaomuhujumu Rais watu wanamshambulia !!!
Hivi kweli mnajua maana ya hujuma??
Nibora mpinzani wako kwa hoja kuliko anayekuhujumu!!!
Lakini nawakumbusha kuwa hatuwezi kwenda kwa style hii ya kuhujumiana kama nchi lazima tuwe wawazi kama umpendi mtu toka hadharani mwambie kwamba wewe no !!
Sio kwa kujificha ficha na kukenua meno huku unanongona na kupanga mipamgo miovu ya kumhujumu mkuu wa nchi
Hilo hatutakubali hata kidogo!!
Ccm mkumbuke "" Rais ni amri jeshi mkuu """ mkumbuke kumuhujumu rais ni sawa na kuwaujumu waliomchagua!!!
Hakuna kitu kitashindikana kwenye ili never never lazima awe mwenyekiti!!!!
Au chama kisambalatike!!!