CCM mjue Rais Magufuli ndo Amiri Jeshi Mkuu

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,904
2,000
Juzi nilikuja hapa na kuelezea jinsi ya mbinu chafu upangwa !!! Kwa kutumia picha!!

Mbinu chafu upangwa na watu walele unaowaamini na kutembea nao kifua mbele !!!!

Leo hii mafisadi wana nguvu mpaka wamefikia kutaka kuhuju taarifa nzuri zinazompa taathari rais wa nchi Kichukua taadhari zaidi juu ya usalama wake ??

Mimi kama mwanachi wa kawaida kabisa siwezi kukubali kabisa ninayoyaona never never ukweli utabaki kuwa ukweli tu daima!!!

Yaani mnapanga kumkwamisha Rais asiwe mwenyekiti wa chama ili mumkata 2020?? Nani awe mwenyekiti sasa??
Mafisadi?? Au!!!

kweli mafisadi ya nchi hii kuna kazi sana
Sina haja ya kumtaja mtu yeyote anayeusika na mpangoo huu!!!!

Lakini lazima ukweli usemwe Kwa sababu Wanaotaka kumkwamisha rais asiwe mwenyekiti tunawaangalia tu kila siku wakizunguka mitandaoni uku wakiwa hawana hoja ya msingi kwanini hawataki ??

Wengi wao ni mafisadi

Au wanafadhiriwa na mafisadi mfano Benson Bana!!

Waliozoea kuishi na kupewa vya bure kupitia Mgogo wa Ccm!!

Kwa sababu nilileta Uzi hapa watu wakanishambulia bila kujua kwanini nilete vile na why??

Uzi ulikaa hivi
"" Magufuli chunga chupa za maji kuelekea Dodoma July 23" """

Lakini kwa vile mafisadi wana nguvu hata Uzi Uo uliondolewa baada ya masaa10 nilishangaa sana kuona jambo lile ina maana mafisadi tumewachekea mpaka wamefikia kuujumu Uhuru wa habari????

Leo hii lizabona anakuja na kuwasema wazi wazi wanaomuhujumu Rais watu wanamshambulia !!!

Hivi kweli mnajua maana ya hujuma??
Nibora mpinzani wako kwa hoja kuliko anayekuhujumu!!!

Lakini nawakumbusha kuwa hatuwezi kwenda kwa style hii ya kuhujumiana kama nchi lazima tuwe wawazi kama umpendi mtu toka hadharani mwambie kwamba wewe no !!

Sio kwa kujificha ficha na kukenua meno huku unanongona na kupanga mipamgo miovu ya kumhujumu mkuu wa nchi
Hilo hatutakubali hata kidogo!!

Ccm mkumbuke "" Rais ni amri jeshi mkuu """ mkumbuke kumuhujumu rais ni sawa na kuwaujumu waliomchagua!!!

Hakuna kitu kitashindikana kwenye ili never never lazima awe mwenyekiti!!!!
Au chama kisambalatike!!!
 
Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
6,893
2,000
miccm bana! kwa kati ya wanachama wote hao ni magufuli tu anaweza kuongoza chama?! hapa utasikia gamba linasema ni utamaduni!
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,904
2,000
miccm bana! kwa kati ya wanachama wote hao ni magufuli tu anaweza kuongoza chama?! hapa utasikia gamba linasema ni utamaduni!
We vipi wewe si wajitokeze hadharani kwanini wanafanya figisufigisu gizan!??
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,590
2,000
kwani makufuri pekee ndio mwenye vigezo vya kua mwenyekiti? kama katiba ya chama inaruhusu mtu yeyote mwenye vigezo kugombea kwanini wasigombee?? kama hutaki kukubaliana na katiba ya chama jivue uanachama..!!
 
MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
26,153
2,000
Wao wafanye lolote
Ila Mwenyekiti ni MAGUFULI.
Kiukweli watu wanadhani mpango huo unasiri kwa sasa no,
Kama mnaona mmeumbuka
Ninyi tulieni
Sio kuja kukanusha kwa hoja za kitoto
 
Unaijua katiba ya ccm weye?
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,904
2,000
Wao wafanye lolote
Ila Mwenyekiti ni MAGUFULI.
Kiukweli watu wanadhani mpango huo unasiri kwa sasa no,
Kama mnaona mmeumbuka
Ninyi tulieni
Sio kuja kukanusha kwa hoja za kitoto
Asante moto chini hawa jamaa ni wauni kupitiliza
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,904
2,000
kwani makufuri pekee ndio mwenye vigezo vya kua mwenyekiti? kama katiba ya chama inaruhusu mtu yeyote mwenye vigezo kugombea kwanini wasigombee?? kama hutaki kukubaliana na katiba ya chama jivue uanachama..!!
Kwani ujui utaratibu wa chama ?? Kama unajua nyamaza!!
 
MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
26,153
2,000
miccm bana! kwa kati ya wanachama wote hao ni magufuli tu anaweza kuongoza chama?! hapa utasikia gamba linasema ni utamaduni!
Ccm sio Chama cha sakosi
Hakuna kusemwa mtu
Mnaongozwa na miungu watu
Mwiko kukosoa
 
Ndahani

Platinum Member
Jun 3, 2008
17,595
2,000
Kuna kitu watu hawataki kujifunza...leo sio jana. Wapambe wanajaribu kurusha karata yao ya mwisho maana baada ya mkutano mkuu hawana tena pakuchuma hela za bure na za udalali. Kila kona JPM amebana anataka mambo yaende kwa kunyooka
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,904
2,000
Kuna kitu watu hawataki kujifunza...leo sio jana. Wapambe wanajaribu kurusha karata yao ya mwisho maana baada ya mkutano mkuu hawana tena pakuchuma hela za bure na za udalali. Kila kona JPM amebana anataka mambo yaende kwa kunyooka
Mafisadi watupu !!
 
Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
4,944
1,500
Tetete...lumumba wanafukunyuana mafichoni. Ccm na siasa zenu chafu lini mkaendana nawaliowakweli. Sitshangaa mkmnyima uenyekiti wa chama. Nakwakuwa hajafuata taratibu za teuzi za kichama, mtamfutilia mbali.
 
mkolosai

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
1,575
2,000
Tetete...lumumba wanafukunyuana mafichoni. Ccm na siasa zenu chafu lini mkaendana nawaliowakweli. Sitshangaa mkmnyima uenyekiti wa chama. Nakwakuwa hajafuata taratibu za teuzi za kichama, mtamfutilia mbali.
Hivi mara ya mwisho lini uchaguz wa Chadema ulifanyika na watu wakamchagua Mbowe kwa uhalali? Maana Zitto alipochomoza pua yake tu watu wakaikata kwa visingizio vya kukihujumu chama.
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,904
2,000
Tetete...lumumba wanafukunyuana mafichoni. Ccm na siasa zenu chafu lini mkaendana nawaliowakweli. Sitshangaa mkmnyima uenyekiti wa chama. Nakwakuwa hajafuata taratibu za teuzi za kichama, mtamfutilia mbali.
Wewe acha ujinga Mimi nimetoa na maoni kuhusu kinachoendelea!!!
 
sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,639
2,000
Rais tunamuombea SANA analindwa Na Mungu yehovah kila kona , msiwe Na wasi wasi maana hakuna mpango wa mafisadi utakaofanikiwa this time , all will collapse before they start in Jesus Christ's name
 
Invisble275

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
982
1,000
Juzi nilikuja hapa na kuelezea jinsi ya mbinu chafu upangwa !!! Kwa kutumia picha!!

Mbinu chafu upangwa na watu walele unaowaamini na kutembea nao kifua mbele !!!!

Leo hii mafisadi wana nguvu mpaka wamefikia kutaka kuhuju taarifa nzuri zinazompa taathari rais wa nchi Kichukua taadhari zaidi juu ya usalama wake ??

Mimi kama mwanachi wa kawaida kabisa siwezi kukubali kabisa ninayoyaona never never ukweli utabaki kuwa ukweli tu daima!!!

Yaani mnapanga kumkwamisha Rais asiwe mwenyekiti wa chama ili mumkata 2020?? Nani awe mwenyekiti sasa??
Mafisadi?? Au!!!

kweli mafisadi ya nchi hii kuna kazi sana
Sina haja ya kumtaja mtu yeyote anayeusika na mpangoo huu!!!!

Lakini lazima ukweli usemwe Kwa sababu Wanaotaka kumkwamisha rais asiwe mwenyekiti tunawaangalia tu kila siku wakizunguka mitandaoni uku wakiwa hawana hoja ya msingi kwanini hawataki ??

Wengi wao ni mafisadi

Au wanafadhiriwa na mafisadi mfano Benson Bana!!

Waliozoea kuishi na kupewa vya bure kupitia Mgogo wa Ccm!!

Kwa sababu nilileta Uzi hapa watu wakanishambulia bila kujua kwanini nilete vile na why??

Uzi ulikaa hivi
"" Magufuli chunga chupa za maji kuelekea Dodoma July 23" """

Lakini kwa vile mafisadi wana nguvu hata Uzi Uo uliondolewa baada ya masaa10 nilishangaa sana kuona jambo lile ina maana mafisadi tumewachekea mpaka wamefikia kuujumu Uhuru wa habari????

Leo hii lizabona anakuja na kuwasema wazi wazi wanaomuhujumu Rais watu wanamshambulia !!!

Hivi kweli mnajua maana ya hujuma??
Nibora mpinzani wako kwa hoja kuliko anayekuhujumu!!!

Lakini nawakumbusha kuwa hatuwezi kwenda kwa style hii ya kuhujumiana kama nchi lazima tuwe wawazi kama umpendi mtu toka hadharani mwambie kwamba wewe no !!

Sio kwa kujificha ficha na kukenua meno huku unanongona na kupanga mipamgo miovu ya kumhujumu mkuu wa nchi
Hilo hatutakubali hata kidogo!!

Ccm mkumbuke "" Rais ni amri jeshi mkuu """ mkumbuke kumuhujumu rais ni sawa na kuwaujumu waliomchagua!!!

Hakuna kitu kitashindikana kwenye ili never never lazima awe mwenyekiti!!!!
Au chama kisambalatike!!!
Mkuu, Kama unawajua mwaga tu. This is JF we dare to talk openly. Hakuna kumnung'unya maneno. Waliosema kikulacho Kinguoni mwako siyo wajinga Mkuu walishayaona na wengine yalishawatokea. Wanafiki ndivyo walivyo wanakuja kwako wanajichekesha wakiitoka hapo wanaenda kupanga mbinu za kukumaliza. Katika maisha ogopa mtu mnafiki bora anayetoka anakuambia mapungufu yako live kuliko anayejifanya mwenzio kumbe ukiteka mgongo ana kung'ong'a.
 
Mssassou

JF-Expert Member
Jun 17, 2015
1,539
1,250
WANACCM WAMEKOSA BUSARA KABISA TATUENI MIGOGORO YENU KWENYE VIKAO SIO HUMU JFORUM HAKUNA MSAADA WOWOTE .MKIENDELEA KURUMBANA HUMU NI SAWA NA KUJIVUA NGUO HADHARANI
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom