CCM mjue Rais Magufuli ndo Amiri Jeshi Mkuu

Juzi nilikuja hapa na kuelezea jinsi ya mbinu chafu upangwa !!! Kwa kutumia picha!!

Mbinu chafu upangwa na watu walele unaowaamini na kutembea nao kifua mbele !!!!

Leo hii mafisadi wana nguvu mpaka wamefikia kutaka kuhuju taarifa nzuri zinazompa taathari rais wa nchi Kichukua taadhari zaidi juu ya usalama wake ??

Mimi kama mwanachi wa kawaida kabisa siwezi kukubali kabisa ninayoyaona never never ukweli utabaki kuwa ukweli tu daima!!!

Yaani mnapanga kumkwamisha Rais asiwe mwenyekiti wa chama ili mumkata 2020?? Nani awe mwenyekiti sasa??
Mafisadi?? Au!!!

kweli mafisadi ya nchi hii kuna kazi sana
Sina haja ya kumtaja mtu yeyote anayeusika na mpangoo huu!!!!

Lakini lazima ukweli usemwe Kwa sababu Wanaotaka kumkwamisha rais asiwe mwenyekiti tunawaangalia tu kila siku wakizunguka mitandaoni uku wakiwa hawana hoja ya msingi kwanini hawataki ??

Wengi wao ni mafisadi

Au wanafadhiriwa na mafisadi mfano Benson Bana!!

Waliozoea kuishi na kupewa vya bure kupitia Mgogo wa Ccm!!

Kwa sababu nilileta Uzi hapa watu wakanishambulia bila kujua kwanini nilete vile na why??

Uzi ulikaa hivi
"" Magufuli chunga chupa za maji kuelekea Dodoma July 23" """

Lakini kwa vile mafisadi wana nguvu hata Uzi Uo uliondolewa baada ya masaa10 nilishangaa sana kuona jambo lile ina maana mafisadi tumewachekea mpaka wamefikia kuujumu Uhuru wa habari????

Leo hii lizabona anakuja na kuwasema wazi wazi wanaomuhujumu Rais watu wanamshambulia !!!

Hivi kweli mnajua maana ya hujuma??
Nibora mpinzani wako kwa hoja kuliko anayekuhujumu!!!

Lakini nawakumbusha kuwa hatuwezi kwenda kwa style hii ya kuhujumiana kama nchi lazima tuwe wawazi kama umpendi mtu toka hadharani mwambie kwamba wewe no !!

Sio kwa kujificha ficha na kukenua meno huku unanongona na kupanga mipamgo miovu ya kumhujumu mkuu wa nchi
Hilo hatutakubali hata kidogo!!

Ccm mkumbuke "" Rais ni amri jeshi mkuu """ mkumbuke kumuhujumu rais ni sawa na kuwaujumu waliomchagua!!!

Hakuna kitu kitashindikana kwenye ili never never lazima awe mwenyekiti!!!!
Au chama kisambalatike!!!
We nawe mshauri wa raisi unaandika haraka hadi unakoseakosea!
Kuita kupingwa hujuma ni sawa na kumuita mpinzani adui!
Katika siasa nafasi zote za uongozi wa juu kabisa kama mwenyekiti, Makamu na katibu huwa si nafasi za kuteuliwa! Often nafasi hizi hugombewa!
Kwa ccm mbovu, yenye awamu za zilizokuwa na mapungufu maraisi waliopita wakajiwekea nafasi ya upendeleo na kuminya katiba ya chama! Now tumepata raisi mchapakazi na anayependa kutenda haki, na mtenda haki ni mpenzi wa Mungu! Bila ya unafiki imeshajidhihirisha kuwa watanzania wanachama wa ccm hawaridhishwi na raisi kupewa uenyekiti Bali walitaka agombee, nadhani ktk misingi ya haki aongoze watanzania kugombea naye! Nadhani Shibuda kama sikosei alichukua fomu na kikwete kabla hajajitoa dk za mwisho!
Kuita wanaomchallenge raisi ni mafisadi au wametumwa hiyo ni hira tu ktk kufanikisha malengo yenu! Hapo ni kutia hofu wajumbe wasiseme waliyonayo mioyoni mwao!
Nadhani ccm muache siasa za woga, kama raisi atakuwa challenged na mtu mwingine jueni kuwa huko ndiko kukua kwa demokrasia! Wakati chadema ilipowatimua the so called wasaliti waliokuwa wanampinga mwenyekiti wao, ccm mlitumia kigezo hicho kusema kuwa huko hakuna demokrasia eti ni chama cha kifamilia! This time ya CHADEMA yamehamia kwenu mnaita watu mafisadi/wasaliti! Same propaganda za kuwarudisha nyuma wenye uthubutu!
 
Toka lini chadema mkakosoana chamani???
 
kwani makufuri pekee ndio mwenye vigezo vya kua mwenyekiti? kama katiba ya chama inaruhusu mtu yeyote mwenye vigezo kugombea kwanini wasigombee?? kama hutaki kukubaliana na katiba ya chama jivue uanachama..!!
Leo ndio unakumbuka kuwa kuna katiba ya chama
 
Kwa mara ya kwanza tutashuhudia mali za CCM zikichangia pato la taifa na sio matumbo ya wachache.

Na vyama vya upinzani vibadilike, sidhani kama huu utaratibu wa kufuja ruzuku utaendelea kwa muda mrefu.
 
Kumbe tatizo lako sio uandishi tu! hata usomaji wako hauko sawa!
Hebu pitia tena maneno yangu halafu uone unachouliza umekitoa wapi!
Wewe nimekuelewa vizur sana kwanini ushauli Uo usiwape chadema??
 
Wanalumumba wanawindana Kwa manati usiku na mchana

watachinjana sana mana lubuva hayupo wanahangaika humu jf vibaya sana wakiambiwa chama chao kinapenda vibudu wanakataa wangekuwa sio wezi hizi thread tusingeziona wao kwa wao hawaaminiani hakika haya ni mafisi.
 
Back
Top Bottom