radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,427
- 32,185
Wewe nimekuelewa vizur sana kwanini ushauli Uo usiwape chadema??
ukiwa mwongo usiwe mwepesi wa kusahau kuna ka thread ulikaanzishaga hapa et unajidai kutoa ushauri kwa chadema kwa madai yako ukasema huna chama leo ya kwapi!!!
Pungezeni kulialia TUMIENI MBINU MLIZOTUMIA KUMUINGIZA MADARAKANI nyie si mabingwa?