CCM mjitathmini mapema, Lowasa, Sitta na Wassira hawauziki kwa wananchi

ligera

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2,646
Reaction score
1,173
Ni faraja kwa ccm wanaotaka uraisi wote wanafahamika. Wapo wanao utaka kwa dhati na wapo mamluki waliopandikizwa kwani katika msafara wa mamba kenge hawakosekani.

Piga ua Lowasa , Membe ,Sita, Wasira na Migiro ndio wenye nafasi ya kuingia tano bora. Baada ya hapo wapo watakao ingia tatu bora na mmoja atachomoka BINGWA atakayepeperusha bendera ya ccm.

Hao waliotajwa hapo juu yaani lowasa, sita na wasira hawauziki kwa watanzania ingawa ndani ya ccm wana nguvu. Wanaweza kupita shida ikawa huku nje.

Kila walipo watu kumi ukiwauliza kuhusu hao watarajiwa tegemea kupata majibu positive matatu , saba watakupa majibu ya dhihaka negatively .Ukiwauliza sababu utasikia furani ni mchapakazi ila mwizi ,wengine watakuambia fulani yule mbishi, dictator, asiyependa kusikiliza mawazo ya wengine, wengine utawasikia fulani ni mzuri kwenye kujenga hoja na ktk kuvumiliana ila ni mzee.

Hofu yangu inaweza kuwa kama 2010 watu wakapiga kura kwa diwani na mbunge wa ccm ,kura ya rais wakampa mwingine, wabunge 75% ,rais 61%
 
Ni kweli kabisa, CCM watafute namna ya kutoka 2015, mimi nawashauri waje na Mr. Mwandosya hana makuu na mtu wa watu, vinginevyo mchwa kala kamba - ujenzi kwisha habari yake..
 
Habari zenu wanajamvi;-
Kwa mara ingine tena mh. waziri wa ardhi ambaye mwanzoni alikua mkurugenzi mkuu umoja wa mataifa Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka katoa safu yako mpya ya ushindi,
1. UADILIFU
2. UZALENDO
3. UCHAPA KAZI
3. TANZANIA NA WANANCHI KWANZA MAS ALA BADAE
4. RASILIMALI ZA TAIFA ZITUMIKE KWA MASLAHI YA WATANZANIA NA WANANCHI KWA UJUMLA
5. KUTATUA TATIZO LA AJIRA TANZANIA
6. KUBORESHA HUDUMA ZA KIJAMII KM SHULE, HOSPITALI, MIUNDOMBINU N.K
7. KUTOKUWA NA MAKUNDI NA KUNDI ILI KUEPUKA KWENDA IKULU NA KUNDI LAKE
8. KUTEKELEZA ILANI YA CCM NA SEREKALI KWA UJUMLA
9. KUDHIBITI MAPATO NA KUONDOA UMASIKINI SAMBAMBA NA KUINUA UCHUMI ILI WASIOJIWEZA KUPEWA POSHO N.K
10. N.K
NAWASILISHA NDG. ZANGU.
 
anaweza kupambana na slaa kweli huyo mwandosa ,?,maana mziki wa chadema si mchezo, usione hivi sasa wapo kimya ukadhani wamelala
 
Habari zenu wanajamvi;-
Kwa mara ingine tena mh. waziri wa ardhi ambaye mwanzoni alikua mkurugenzi mkuu umoja wa mataifa Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka katoa safu yako mpya ya ushindi,
1. UADILIFU
2. UZALENDO
3. UCHAPA KAZI
3. TANZANIA NA WANANCHI KWANZA MAS ALA BADAE
4. RASILIMALI ZA TAIFA ZITUMIKE KWA MASLAHI YA WATANZANIA NA WANANCHI KWA UJUMLA
5. KUTATUA TATIZO LA AJIRA TANZANIA
6. KUBORESHA HUDUMA ZA KIJAMII KM SHULE, HOSPITALI, MIUNDOMBINU N.K
7. KUTOKUWA NA MAKUNDI NA KUNDI ILI KUEPUKA KWENDA IKULU NA KUNDI LAKE
8. KUTEKELEZA ILANI YA CCM NA SEREKALI KWA UJUMLA
9. KUDHIBITI MAPATO NA KUONDOA UMASIKINI SAMBAMBA NA KUINUA UCHUMI ILI WASIOJIWEZA KUPEWA POSHO N.K
10. N.K
NAWASILISHA NDG. ZANGU.

yaani na huyo anataka uraisi,
 
Ni faraja kwa ccm wanaotaka uraisi wote wanafahamika. Wapo wanao utaka kwa dhati na wapo mamluki waliopandikizwa kwani katika msafara wa mamba kenge hawakosekani.

Piga ua Lowasa , Membe ,Sita, Wasira na Migiro ndio wenye nafasi ya kuingia tano bora. Baada ya hapo wapo watakao ingia tatu bora na mmoja atachomoka BINGWA atakayepeperusha bendera ya ccm.

Hao waliotajwa hapo juu yaani lowasa, sita na wasira hawauziki kwa watanzania ingawa ndani ya ccm wana nguvu. Wanaweza kupita shida ikawa huku nje.

Kila walipo watu kumi ukiwauliza kuhusu hao watarajiwa tegemea kupata majibu positive matatu , saba watakupa majibu ya dhihaka negatively .Ukiwauliza sababu utasikia furani ni mchapakazi ila mwizi ,wengine watakuambia fulani yule mbishi, dictator, asiyependa kusikiliza mawazo ya wengine, wengine utawasikia fulani ni mzuri kwenye kujenga hoja na ktk kuvumiliana ila ni mzee.

Hofu yangu inaweza kuwa kama 2010 watu wakapiga kura kwa diwani na mbunge wa ccm ,kura ya rais wakampa mwingine, wabunge 75% ,rais 61%

Kazi ya NEC ya, CCM hiyo, haituhusu sisi
 
namashaka research yako umeifanya ukiwa unazini na mke wa mtu kama alivyo baba yako membe, 2015 Lowasa ndiye rais kwisha kazi
 
CCM ina hazina kubwa ya wanasiasa. Jinsi ilivyokuwa mwaka 95 ndivyo itakavyotokea mwakani
 
Habari zenu wanajamvi;-
Kwa mara ingine tena mh. waziri wa ardhi ambaye mwanzoni alikua mkurugenzi mkuu umoja wa mataifa Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka katoa safu yako mpya ya ushindi,
1. UADILIFU
2. UZALENDO
3. UCHAPA KAZI
3. TANZANIA NA WANANCHI KWANZA MAS ALA BADAE
4. RASILIMALI ZA TAIFA ZITUMIKE KWA MASLAHI YA WATANZANIA NA WANANCHI KWA UJUMLA
5. KUTATUA TATIZO LA AJIRA TANZANIA
6. KUBORESHA HUDUMA ZA KIJAMII KM SHULE, HOSPITALI, MIUNDOMBINU N.K
7. KUTOKUWA NA MAKUNDI NA KUNDI ILI KUEPUKA KWENDA IKULU NA KUNDI LAKE
8. KUTEKELEZA ILANI YA CCM NA SEREKALI KWA UJUMLA
9. KUDHIBITI MAPATO NA KUONDOA UMASIKINI SAMBAMBA NA KUINUA UCHUMI ILI WASIOJIWEZA KUPEWA POSHO N.K
10. N.K
NAWASILISHA NDG. ZANGU.

Sifa zote ulizozitaja na hata ukimuongezea maradufu anazo au anaweza kuwa nazo ila sifa moja tu prof AKT hana na hataweza kuwa nayo:
prof hana uwezo/ubavu wa kukabiliana na wahafidhina; mafisadi, the oligarchs; power brokers na political shenanigans ndani ya CCM; the tiny prof atabaki na madaraka on paper na bado atakuwa analia usiku kucha kwa kushindwa kuamua na kutekeleza chochote umma ukakiona; kumbuka the World is ruled by a few crafty people who do make things happen not glittering academic credentials like the tiny professor;
Read my words; Prof AKT hawezi kuongoza Tanzania hii hapa tulipofikia; si ulimsikia pale mlimani kwenye mdahalo wa UDASA naye akitetea muungano wa serikali mbili! na mji mpya wa Kigamboni na kitendawili cha hisa je alivyozishikia bango! tayari Prof AKT ameshazisoma alama za nyakati kwamba she has to toe the line or else!
 
namashaka research yako umeifanya ukiwa unazini na mke wa mtu kama alivyo baba yako membe, 2015 Lowasa ndiye rais kwisha kazi
Mkuu, uwe na ustaarabu bana! Utamwambiaje mtu kuwa anazini na mke wa mtu?
 
Ligela, ulichoandika si kibaya ingawa kinaonyesha upande unaoushabikia. Hao uliowataja watano inawezekana wakawa kwenye kumi bora. Hao uliowataja kuwa hawauziki inawezekana wakaingia tatu bora kwa maamuzi ya Mkutano Mkuu.

Asha-Rose Migiro
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa masuala ya kimataifa, Asha-Rose alishindwa kazi kama Deputy UN SG vinginevyo angekuwa bado anaongoza. Ukisikia UN SG akisema atachagua team yake nzuri na kisha kumuondoa ni uthibitisho wa kile nilichosema.
Kuna taarifa za ndani zinazodai kuwa Asha-Rose alikuwa na matendo ya kutojiheshimu akiwa UDSM kwa kutokuwa muaminifa wa ndoa kwa kuvinjari na wanafunzi wake.

Bernard Membe
Kutaka urais imemfanya awe "mjinga" kwa kutafuta hela hata kama ni kuhatarisha maslahi ya nchi. Uthibitisho upo na kuna watu watauweka wazi wakati ukifika.
Pili, ameonekana kutojua mipaka ya kazi yake na mara nyingi kukurupuka katika kutoa maelezo. Amekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza duniani kutangaza vita kwa nchi jirani. Hii ni aibu kubwa. Waziri kama yeye hawezi kuzungumzia vita hata kama hali si nzuri. Wanaotoa tamko ni Waziri mwenye dhamana ya ulinzi au amiri jeshi mkuu ambaye ni Rais.

Steven Wasira
Alihama chama mwaka 1995 na kujiunga na NCCR-Mageuzi bila Warioba kukimbilia mahakamani nina uhakika mpaka sasa asingekuwa mwanachama wa CCM. Huyu anaitwa Kigeugeu. CCM haiwezi kuwa na uhakika na mtu kama huyu.
Kwa kweli hata sura inatisha ndo maana Mhe. Rais anamwita Tayson.
Hauziki ndani ya chama.

Samuel Sitta
Tukimwangalia kwa kioo cha u-Spika enzi zile, angeuzika vizuri ila kwa sasa kachemsha kabisa na anaonekana hana msimamo thabiti na maamuzi si ya busara.

Edward Lowassa
Ameshutumiwa mambo mengi na kusababisha kujiuzulu. Kutokana na maneno aliyoyatoa baadae ndani ya vikao maalum vya chama alionyesha kuwa hamna alichokifanya bila ya ridhaa ya Mhe. Rais. Na kweli hata Rais alishindwa kukanusha ndani ya kikao. Hii ilimuongezea nguvu ukizingatia kuwa aliendelea kumiliki wanamtandao waliomweka Rais Kikwete madarakani.
Kinachoonekana kwa sasa ni kwa Rais kutaka mtu mwingine na si Lowassa kutokana na kumuogopa kwani kisasi kinanukia kutokana na kuvunjika kwa makubaliano yao.

NB:
1. Kwa taarifa zisizo rasmi, Makamu Mwenyekiti-Bara anachunguza tuhuma za kila mmoja kwa ajili ya mchujo
2. Rais anamtaka Membe au Migiro kulinda maslahi yake kwani kwa kupitia kijana wake wamechuma pesa nyingi sana na kwa vyovyote anaye kama Rais ajaye anaangalia maslahi ya taifa kutakuwapo kuwajibishwa au kufirisiwa.
3. Mhe Rais Kikwete anaonekana kushindwa kudhibiti wanaonawania urais kutokana na yeye mwenyewe kupitia njia hiyo mwaka 2005. Hata wazee wanaoweza kukemea yeyote mwenye makosa wameshawekwa pembeni.
4. Mpaka sasa, ndani ya chama, 80% ya NEC wanamshabikia Lowassa. Hii inampa nafasi ya pekee kwani hamna mtu mwenye ujasiri kumuengua. Wazee OUT.

Anjo
 
Ni faraja kwa ccm wanaotaka uraisi wote wanafahamika. Wapo wanao utaka kwa dhati na wapo mamluki waliopandikizwa kwani katika msafara wa mamba kenge hawakosekani.

Piga ua Lowasa , Membe ,Sita, Wasira na Migiro ndio wenye nafasi ya kuingia tano bora. Baada ya hapo wapo watakao ingia tatu bora na mmoja atachomoka BINGWA atakayepeperusha bendera ya ccm.

Hao waliotajwa hapo juu yaani lowasa, sita na wasira hawauziki kwa watanzania ingawa ndani ya ccm wana nguvu. Wanaweza kupita shida ikawa huku nje.

Kila walipo watu kumi ukiwauliza kuhusu hao watarajiwa tegemea kupata majibu positive matatu , saba watakupa majibu ya dhihaka negatively .Ukiwauliza sababu utasikia furani ni mchapakazi ila mwizi ,wengine watakuambia fulani yule mbishi, dictator, asiyependa kusikiliza mawazo ya wengine, wengine utawasikia fulani ni mzuri kwenye kujenga hoja na ktk kuvumiliana ila ni mzee.

Hofu yangu inaweza kuwa kama 2010 watu wakapiga kura kwa diwani na mbunge wa ccm ,kura ya rais wakampa mwingine, wabunge 75% ,rais 61%

I think haujafanya reasearch yako vizuri rudia tena,LOWASSA ni shida kaka anakubalika kila kona,tunamuombea Mungu wasije mmaliza kabla ya 2015 kwani tunajua na tunaelewa
 
Habari zenu wanajamvi;-
Kwa mara ingine tena mh. waziri wa ardhi ambaye mwanzoni alikua mkurugenzi mkuu umoja wa mataifa Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka katoa safu yako mpya ya ushindi,
1. UADILIFU
2. UZALENDO
3. UCHAPA KAZI
3. TANZANIA NA WANANCHI KWANZA MAS ALA BADAE
4. RASILIMALI ZA TAIFA ZITUMIKE KWA MASLAHI YA WATANZANIA NA WANANCHI KWA UJUMLA
5. KUTATUA TATIZO LA AJIRA TANZANIA
6. KUBORESHA HUDUMA ZA KIJAMII KM SHULE, HOSPITALI, MIUNDOMBINU N.K
7. KUTOKUWA NA MAKUNDI NA KUNDI ILI KUEPUKA KWENDA IKULU NA KUNDI LAKE
8. KUTEKELEZA ILANI YA CCM NA SEREKALI KWA UJUMLA
9. KUDHIBITI MAPATO NA KUONDOA UMASIKINI SAMBAMBA NA KUINUA UCHUMI ILI WASIOJIWEZA KUPEWA POSHO N.K
10. N.K
NAWASILISHA NDG. ZANGU.

We tumekuchoka,kama huna hoja sio lazima uchangie,huu ni upuuzi,hapa hatupigi kampeni,huyo mama anakulipa bei gan???
 
I think haujafanya reasearch yako vizuri rudia tena,LOWASSA ni shida kaka anakubalika kila kona,tunamuombea Mungu wasije mmaliza kabla ya 2015 kwani tunajua na tunaelewa

Lowassa ndo habari ya nchi,anauzika bila hata kujinadi,mleta mada nadhani hajui alisemalo
 
Kaka hiyo sio ya kusema taratibu inatakiwa kuisema kwa sauti ya juu kabisa wajue,watake wasitake ndo Rais ajaye wa tanzania,hata UKAWA wanamkubali bila shida yeyote huyu kamanda
 
Huyu prof...tupewe cv yke vizur..,hasa kuelimu...maana uprofesa sio kitu..huku chini degree na masters kasoma nn, maana mkapa alikuwa journalist ..professional alifanya vizur ktk urais wake gdp,gnp, vilileta matumain kwa wananchi.sasa hivi tunanataka specialist kwenye either,international trade, social development, natural resources evaluation,micro economics,tourism,
 
Back
Top Bottom