CCM Mjifunze kinachoipata Iran

CCM Mjifunze kinachoipata Iran

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
6,546
Reaction score
11,654
Israel na Marekani zimeanza vita na Iran kwa kushambulia viongozi wakuu wa Serikali ya Iran, Swali ni wapi huwa wanapata taarifa?

Jirani yoyote akitaka kuipiga Tanzania chini ya CCM, atashinda vita kirahisi sana
Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was eliminated.

He gave the death sentence to thousands of protesters.
 
Safi
 
Umeuliza swali kwamba ni wapi huwa u.s anapata Taarifa... Swali zuri acha nikujibu kwa maoni yangu... Kule Iran kwenye safi za viongozi wa juu na wale wanaopenda hao viongozi tayari Kuna mapandikizi tayari kwa hisani ya Israel ambao automatically hawafurahishwi na mambo yanavyoenda na wapo kwenye payroll za CIA na Mossad...

Kuna kisa niliwahi kuleta humu kinamhusu jamaa anaitwa Ashraf Marwan jamaa alieoa mtoto wa Gamal Nasser , lakini huwezi amini alikuwa tayari kwenye Payroll za Mossad ya Israel akivujisha Siri...ko haya mambo yapo sana kwa wasaliti kuwepo hadi ikulu
 
Nimesema mara kwa mara kwamba matendo ya CCM na serikali zake yanahatarisha sana usalama wa taifa la Tanzania.

Kwa jinsi nchi ilivyogawanyika sasa, vinyongo ambavyo watu wanavyo na viburi vinavyoonyeshwa na watawala, ikitokea kuna adui kutoka nje atapata ushirikiano mzuri sana.

Binadamu mfanyie yote ila usimuondolee tumaini la maisha.
 
Kwa alichokifanya Samia na genge lake ni rahisi sana watu kutoa ramani. Sijui alikuwa anafikiria nini kufanya unyama wa kiasi kile. Hata yeye huko alipo anafahamu kabisa hali kwa ground imevurugika na ndio maana ajitokezi kwa uhuru tena kama awali.

HAKIKA hakuna AMANI kwa wabaya.
 
Israel na Marekani zimeanza vita na Iran kwa kushambulia viongozi wakuu wa Serikali ya Iran, Swali ni wapi huwa wanapata taarifa?

Jirani yoyote akitaka kuipiga Tanzania chini ya CCM, atashinda vita kirahisi sana
Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was eliminated.

He gave the death sentence to thousands of protesters.
Kwao wao ccm inchi ni mali yao na watoto wao, sisi wengine wotè ni low class inayotakiwa kutekwa ,kufirwa, kuuawa, kwa kulalamikia utendaji usioridhisha wa serikali
 
Israel na Marekani zimeanza vita na Iran kwa kushambulia viongozi wakuu wa Serikali ya Iran, Swali ni wapi huwa wanapata taarifa?

Jirani yoyote akitaka kuipiga Tanzania chini ya CCM, atashinda vita kirahisi sana
Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was eliminated.

He gave the death sentence to thousands of protesters.
nonsense
 
Nikiona Kinachotokea Iran nasikitaga sana

Ova
 
Israel na Marekani zimeanza vita na Iran kwa kushambulia viongozi wakuu wa Serikali ya Iran, Swali ni wapi huwa wanapata taarifa?

Jirani yoyote akitaka kuipiga Tanzania chini ya CCM, atashinda vita kirahisi sana
Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was eliminated.

He gave the death sentence to thousands of protesters.
Kenge sii mwanafunzi mziri hadi fuvu la kichawa chake libomoke!
 
Back
Top Bottom