Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,564
Elezea na kushindwa kwake.Tukiwa tumebakiza masaa kusherehekea kutimiza miaka 36 ya chama chetu CCM, tunayo mengi ya kujivunia na changamoto kidogo;
1. Umeme hadi vijijini.
2. Makao Makuu kuhamia Dodoma.
3. Ujenzi wa Bwawa la Nyerere.
4. SGR.
5. Demokrasia imekua.
Points zako hizo hizo 7, Tukisema tuzijadili, utashindwa kuzisimamiaTukiwa tumebakiza masaa kusherehekea kutimiza miaka 36 ya chama chetu CCM, tunayo mengi ya kujivunia na changamoto kidogo;
1. Umeme hadi vijijini.
2. Makao Makuu kuhamia Dodoma.
3. Ujenzi wa Bwawa la Nyerere.
4. SGR.
5. Demokrasia imekua,
6. Muungano umeimarika,
7. Diplomasia ya Uchumi wa Kisayansi.
2023-1977=36? Serious?!!Tukiwa tumebakiza masaa kusherehekea kutimiza miaka 36 ya chama chetu CCM, tunayo mengi ya kujivunia na changamoto kidogo;
1. Umeme hadi vijijini.
2. Makao Makuu kuhamia Dodoma.
3. Ujenzi wa Bwawa la Nyerere.
4. SGR.
5. Demokrasia imekua,
6. Muungano umeimarika,
7. Diplomasia ya Uchumi wa Kisayansi.
HakikaCCM Chama kikongwe barani Afrika. Kimesaidia nchi nyingi Kusini mwa Afrika.
Sisi ndio Taifa pekee duniani kuwanja Uchumi jumuishiChama kinachojali Wanyonge
OngezeaTukiwa tumebakiza masaa machache kusherehekea kutimiza miaka 46 ya chama chetu CCM, tunayo mengi ya kujivunia na changamoto kidogo;
1. Umeme hadi vijijini.
2. Makao Makuu - Chama na Serikali kuhamia Dodoma (tumetimiza Ndoto ya Muasisi Mwl Julius Nyerere)
3. Ujenzi wa Bwawa la Nyerere (tumetimiza Ndoto ya Muasisi Mwl Julius Nyerere)
4. SGR.
5. Demokrasia imekua (mikutano ya hadhara, uchaguzi huru na wa haki, Uhuru wa.Mahakama).
6. Muungano umeimarika,
7. Diplomasia ya Uchumi wa Kisayansi imeimarika eg. Leo hii ATC inatua Nairobi, Entebbe, Bujumbura, Lusaka, Harare, Mumbai (Kwa uchache).
8. Afya (NHIF).
9. Elimu (ngazi zote)
CHANGAMOTO:
3. Maslahi (posho za Madiwani).
2. Ukame.
1. Soko Kwa bidhaa za kilimo.