CCM Mbona Mnajiandikia Habari Wenyewe?

CCM Mbona Mnajiandikia Habari Wenyewe?

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
567
Reaction score
1,565
Ukisoma Magazeti mengi ukiacha Magazeti machache tu ya Kizarendo utaona jinsi ambavyo CCM ndio wamekua Waandishi na Wahariri wa Magazeti hayo.

Habari zinazoandikwa humo, Chanzo cha habari ni CCM, Waandishi wa habari ni CCM, Wahariri ni CCM, wasamazaji ni CCM nadhani tuwaachie CCM wenyewe ndio wawe Wasomaji pia.

Maanake haiwezekani mnataka tuyasome sisi wakati mmetupangia Habari zenu.

Watanzania sasa hivi sio kila Gazeti linafaa kusomwa mengine yanatumiwa na CCM kutupotosha. Tuwe Makini.
 
June 2015 kurudi nyuma uliishasoma gazeti la Mtanzania Daima na likamwandika
Lowasa kwa mazuri?. Na umeishalisoma Mtanzania Daima la sasa likimwandika Lowasa kwa mabaya?
 
Magamba wanajifariji tu wanajua fika kifo kiko around the corner
 
Kichwa cha thread yenyewe kinaonyasha ufinyu wa fikra katika uandishi wa habara. Kama siyo taaluma achana na magazeti yanayo kukera. Watafiti wa siasa za UKAWA ni Magazeti na blogs. Watafiti wa siasa za kitaifa huwakilisha maoni ya sehemu zote kwa watu wa maeneo yote. Upinzani huwajajipanga ndio maana wanategemea zaidi umaarufu wa LOWASA akiwa CCM.
 
June 2015 kurudi nyuma uliishasoma gazeti la Mtanzania Daima na likamwandika
Lowasa kwa mazuri?. Na umeishalisoma Mtanzania Daima la sasa likimwandika Lowasa kwa mabaya?

Mtanzania daima ndo gazeti lipi?
 
Back
Top Bottom