Nashindwa kuwaelewa CCM! Kabisa nashindwa.
* Yaliwawezesha kutwaa nchi kutoka kwa wakaloni.
* Yaliwalea.
* Yaliwawezesha kusambaza itikadi na sera zenu -- kwa mfano za ujamaa.
* Yaliwawezesha kupambana vyema na wapinzani baada ya vyama vingi kuanza.
* Yalikuwa yanawapatia ushindi wa kishindo.
CCM – inakuwa vipi leo hii maandamano yanakuwa hayafai, hayana tija, ni matumizi mabaya ya hela za walipa kodi, na kadhalika na kadhalika?
Siku hizi chuki yenu dhidi ya maandamano ni nini hasa? Tuelezeni bila ya kutafuna maneno!
Nawasilisha!
</p>Mbona walifanya maandamano Morogoro na Kibaha wakati wa kupokea magamba mapya kutoka Dodoma!
waandamane dhidi ya serikali yao waliounda wenyewe? Naomba nieleweshe.
Hivi chichiem mbona hawafanyi maandamano hata kidogo,au wao wanaona inji iko sawasawa.Wapi maji,barabara,huduma za afya,elimu,umeme,ujangili ndani ya chichiem,maisha magumu n.k.Mambo ni mengi ya kufanyia maandamano.
Au wenzetu wana chichiem maisha mpeto.
Nashindwa kuwaelewa CCM! Kabisa nashindwa.
* Yaliwawezesha kutwaa nchi kutoka kwa wakaloni.
* Yaliwalea.
* Yaliwawezesha kusambaza itikadi na sera zenu -- kwa mfano za ujamaa.
* Yaliwawezesha kupambana vyema na wapinzani baada ya vyama vingi kuanza.
* Yalikuwa yanawapatia ushindi wa kishindo.
CCM – inakuwa vipi leo hii maandamano yanakuwa hayafai, hayana tija, ni matumizi mabaya ya hela za walipa kodi, na kadhalika na kadhalika?
Siku hizi chuki yenu dhidi ya maandamano ni nini hasa? Tuelezeni bila ya kutafuna maneno!
Nawasilisha!
Huwaelewi nini sasa na vitu umeisha vitaja mwenyewe? jamaa wamepoteza dira CDM , Mwalimu aliisha sema dhambi ya udini + ukabila mbaya sana, ndio inayo watafuna cdm
Hivi chichiem mbona hawafanyi maandamano hata kidogo,au wao wanaona inji iko sawasawa.Wapi maji,barabara,huduma za afya,elimu,umeme,ujangili ndani ya chichiem,maisha magumu n.k.Mambo ni mengi ya kufanyia maandamano.
Au wenzetu wana chichiem maisha mpeto.
mmesahau kwamba viongozi wengi wa cdm hawana kazi ya kufanya ndio maana wana muda kufanya maandamano yasiyokuwa na kichwa wala miguuuHivi chichiem mbona hawafanyi maandamano hata kidogo,au wao wanaona inji iko sawasawa.Wapi maji,barabara,huduma za afya,elimu,umeme,ujangili ndani ya chichiem,maisha magumu n.k.Mambo ni mengi ya kufanyia maandamano.
Au wenzetu wana chichiem maisha mpeto.
viongozi wote wa kitaifa wa cdm hawana kazi ndio maana muda wote wanafikiria maandamano ambayo hayana kichwa wala miguuHivi chichiem mbona hawafanyi maandamano hata kidogo,au wao wanaona inji iko sawasawa.Wapi maji,barabara,huduma za afya,elimu,umeme,ujangili ndani ya chichiem,maisha magumu n.k.Mambo ni mengi ya kufanyia maandamano.
Au wenzetu wana chichiem maisha mpeto.
Kumbe ndio maana TBC hawakuonyesha yale ya Mbeya jana...CCM bana yaaani wanaona kila kitu ni cha kwao>>>>>>!!