Hivi chichiem mbona hawafanyi maandamano hata kidogo,au wao wanaona inji iko sawasawa.Wapi maji,barabara,huduma za afya,elimu,umeme,ujangili ndani ya chichiem,maisha magumu n.k.Mambo ni mengi ya kufanyia maandamano.
Au wenzetu wana chichiem maisha mpeto.
hata hao wanaoandamana kila siku na wabunge wao huku wakiacha majimbo yao ili hali hakuna wa kuhimiza maendeleo katika majimbo wanakktoka.hata katika mikutano yao hawana jipye bali ufiasadi na kuongeza orodha mpya ambayo walipewa na RA
Wanaogopa kuulizwa na wananchi waliyoyaahidi cha kusikitisha zaidi hawana majibu wewe hujui kwanini wanakataa midahalo
Wao wapo bize kutekeleza ilani yao kwa sababu ndio watawala kwa miaka hii 5
Kwani chadema kama ikishika nchi itaendelea kuandamana?
Tujikumbushe maandamano ya kuunga mkono hotuba za muheshimiwa Jeykey, unakumbuka hotuba ya "mapanki" na hotuba ya "kutukana wafanyakazi".
Pia Nape Nnauye, aliahidi maandamano ya kuunga mkono juhudi za kujivua gamba!