CCM Mbeya yalaumiwa kwa kukosa utaifa

CCM Mbeya yalaumiwa kwa kukosa utaifa

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
31,828
Reaction score
36,523
May 15, 2020

MWASISI wa shirikisho la Vyuo na vyuo vikuu, ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Amani Kajuna amesema Jimbo la Mbeya kuendelea kushikiliwa na chama pinzani ni kutokana na baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM kuweka matakwa yao ya viongozi na sio kuwasikiliza wananchi.

Kwa uchungu kabisa mwanaCCM huyu wa Mbeya kipenzi cha vijana wa UVCCM na Jumuiya za CCM anaelezea michezo michafu ya kisiasa ndani ya chaguzi za CCM

Source : Global TV online
 
Hapa kutokana na hali ya kisiasa uliyofichuliwa na huyu mwanaCCM kwa kweli Mbeya ni yetu wapinzani kwa kura kuanzia udiwani, ubunge na Urais.
 
Atulie tunajiandaa kufuta Chadema mbeya

Kila kitu kipo tayari
 
Back
Top Bottom