MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 761
Huyo RPC wa Mbeya anatakiwa kupewa cheo cha U-DCI au IGP kabisa.
Kamanda hao wameamua kuanzisha jeshi lao baada kuona jwtz na baathi ya wana police hawakiungi mkono chama cha magamba.
Huyo RPC wa Mbeya anatakiwa kupewa cheo cha U-DCI au IGP kabisa.
-pole yao wanaccm kwa kukandamizwa.Ombi langu tu makambi yao yasifundishe vijana wao kuwa watekaji na wauaji kwa wale wasiokuwa upande wao
Ni kweli kuna kambi ya Maninja wa CCM Ivumwe sekondari wakijiandaa na vurugu wakati wa uchaguzi wa Udiwani jumapili kata ya Iyela.
Wanavaa mizula inayofunika nyuso zao.
Kwa asiwe amini aende Ivumwe na Itende Sekondari atayaona haya ninayosema.
Ila sasa hivi wameshikwa pabaya.Hawana njia nyingine zaidi ya kufanya uhuni kama huo.Ni ngumu kuamini.da! kumbe na Itende nako, hawa watu vp vp????
RPC Diwani Athumani ni mmoja wa makamanda makini, asiyrkurupuka katika mambo mengi. Hii ndo raha ya usomi. Anafahamu ni kitu gani anafanya na kwa weledi wa kiwango gani. Ni vizuri makamanda wengine wafahamu wigo wa kazi zao badala ya kugeuka makada.
MmhNikiwa ndani ya daladala, kupitia Radio IbonyFm Habari nimemsikia katibu wa CCM mkoa wa Mbeya akilalamika kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya RPC DIWANI ATHUMAN amekuwa akifanya kazi kwa upendeleo hasa tangu CCM KUANZISHA KAMBI ya mafunzo kwa vijana wake maeneo ya Ivumwe jijini Mbeya!
Aidha, katibu huyo bila kusita, amemtaja RPC kuikandamiza CCM na kuipendelea CHADEMA hasa kwa kuwakamata vijana kadhaa wa CCM kufuatia kutekwa na kuteswa kwa kiongozi mmoja wa CHADEMA aliyekuwa anakatiza eneo ilipo kambi hiyo ya mafunzo ya CCM. namnukuu "haiwezekani mtu apite KAMBINI kwetu huku amevalia mzura wa CHADEMA na banghi mfukani halafu sisi tumuangalie tu, tena anaanza kuleta ubishi"!
Kwa upande wake RPC amesikika akisema yeye anafanya kazi kwa utafiti lakini anashangaa vyama vyote vikilalamika juu ya jeshi la polisi! pia akijibu kuhusu katibu wa CCM kumlaumu, RPC amejibu "huu ni uzushi...tena kama unaweza kuandika hii andika lakini nasema huu ni uzushi, kama wao wameshindwa majukwaani shauri zao lakini wasije kupotosha watu huku mitaani" alimalizia RPC!
chanzo: Ibony Fm Habari saa 13:00.
wana jamii! huu mtindo wa kuanzisha makambi ya mafunzo ya kujilinda mimi napata wasiwasi nayo!