Huyo lowasa kwenye katiba akiwa Ccm ndio wa kwanza alikuwa anataka tena kingekuwamo cha mgombea binafsi msingemwona Chadema. Kwa kuwa walikataa katiba na hakimo pumbavu limekuja kuvuruga upinzani. Nilikuwa mfungwa ndani ya makamanda ila alipoingia fisadi papa lowasa. No.
Lowasaaaaaa mabadilikoooooo.
Raisi ni lowasa sasa kama vepee hama nchi