CCM mbele kwa mbele

CCM mbele kwa mbele

Tunahitaji mtu wa kutulelea mabadiliko lakini lowasa na timu yake ni fake. Kumbe tutabaki vilevile sababu ya uroho na tamaa za viongozi wa upinzani. Tamaa Chadema. Wangekuwa kama mwanzo sawa ila wamevuruga lowasa fake, corrupted

Huyo ndio mtanzania anae fikiria mabadiliko ndani ya lowasa. Very sorry. Amka acha utoto. Tanzania inakuhitaji na vizazi vyake. Lowasa hafai.

Trust me pata juice ya ukwaju au mbilimbi utafunguliwa huko ulikofungwa, mabadiliko ni sasa kupitia UKAWA, nakushauri tena Tujadili mifumo tuachane na watu
 
Tumia vizuri hilo neno "trust", sio hovyo hovyo kama mnywa viloba.
 
Tumia bongo ulizo pewa. Lowasa na sumaye hawa kuwa kwenye huo mfumo? Tunahitaji mabadiliko lakini sio lowasa. Wewe ni mrundi kichwani sikulaumu. Huwazi utanzania bali umefeediwa wrong propaganda

Mimi ni mtanzania halisi lakini sina akili za kiccm,

Lowasa kwako mbaya sisi kwetu Salama salmini

Mtaji wenu Wa wajinga wame badilika

Ccm kinaendeshwa na wajanja wachache ila wana akili ndogo na ukiangalia wengi Wa wafuasi wake wengi ni wajinga wanapenda zile taarabu zenu za TOT
 
Mshana kubwa jinga
Kiboko haya maneno yapo kila siku tu mbona? Ni kashfa za kawaida Sana hizi
Nitakuwa mfungwa wa kimtazamo na mwendawazimu nikidhani kuwa wale wa upande wa pili wataipenda hii post hasa hizi picha... Kwahiyo nimejiandaa kupokea maneno mengi ya kukera
 
Last edited by a moderator:
Tunahitaji mtu wa kutulelea mabadiliko lakini lowasa na timu yake ni fake. Kumbe tutabaki vilevile sababu ya uroho na tamaa za viongozi wa upinzani. Tamaa Chadema. Wangekuwa kama mwanzo sawa ila wamevuruga lowasa fake, corrupted

Can you prove that lowasa is fake

Kweli ukiprove nitakuelewa prisoner
 
Mimi ni mtanzania halisi lakini sina akili za kiccm,

Lowasa kwako mbaya sisi kwetu Salama salmini

Mtaji wenu Wa wajinga wame badilika

Ccm kinaendeshwa na wajanja wachache ila wana akili ndogo na ukiangalia wengi Wa wafuasi wake wengi ni wajinga wanapenda zile taarabu zenu za TOT

Huyo lowasa kwenye katiba akiwa Ccm ndio wa kwanza alikuwa anataka tena kingekuwamo cha mgombea binafsi msingemwona Chadema. Kwa kuwa walikataa katiba na hakimo pumbavu limekuja kuvuruga upinzani. Nilikuwa mfungwa ndani ya makamanda ila alipoingia fisadi papa lowasa. No.
 
Tumia vizuri hilo neno "trust", sio hovyo hovyo kama mnywa viloba.

Nimekushauri Usipaniki, ningependa nikuone unafika salama October ukiwa na afya tele Nafikiri unajua ni mfumo gani umetuletea viroba
 
Huyo lowasa kwenye katiba akiwa Ccm ndio wa kwanza alikuwa anataka tena kingekuwamo cha mgombea binafsi msingemwona Chadema. Kwa kuwa walikataa katiba na hakimo pumbavu limekuja kuvuruga upinzani. Nilikuwa mfungwa ndani ya makamanda ila alipoingia fisadi papa lowasa. No.

Kwahiyo mfungwa hutaki tena mabadiliko kwakuwa Lowassa Kaja UKAWA??? You must be kidding...!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo lowasa kwenye katiba akiwa Ccm ndio wa kwanza alikuwa anataka tena kingekuwamo cha mgombea binafsi msingemwona Chadema. Kwa kuwa walikataa katiba na hakimo pumbavu limekuja kuvuruga upinzani. Nilikuwa mfungwa ndani ya makamanda ila alipoingia fisadi papa lowasa. No.

Prisoner kweli ukinionesha ubaya Wa lowasa Mimi nitakuelewa embu punguza povu kidogo then come to the point
 
# hapa ni kazi damuni

Hahahaaa nilijua huu ndio mwisho wake 'hapa kazi tu ccm mbere kwa mbere.....hakuna dira hakuna vigezo hakuna mipango, hakuna takwimu hakuna usimamizi, hakuna heshima, hakuna hekima,hakuna utaifa, hakuna uzalendo,hakuna chochote ni kazi tu na mbele kwa mbele...
 
Hahahaaa nilijua huu ndio mwisho wake 'hapa kazi tu ccm mbere kwa mbere.....hakuna dira hakuna vigezo hakuna mipango, hakuna takwimu hakuna usimamizi, hakuna heshima, hakuna hekima,hakuna utaita, hakuna uzalendo,hakuna chochote ni kazi tu na mbele kwa mbele...

Afadhari kuwa "hakuna", na Hatimae utapata kuliko kujifanya unacho kumbe hata ambae hana ameomba na amepata. Wewe unajifanya unavyo na huna.
 
Duu Kama taifa tumefika hapa tulipo kwa mawazo na mitazamo kama hii.. Ninachojivunia ni kwamba picha hizi zimekuumiza na kukugusa kwa namna ya pekee kabisa na najua wazi utazitafakari usiku kucha...
 
Back
Top Bottom