Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,687
Ooh ahsante sana Palmoni kwa kuliona hili. Sijisifii ila nina utu kwa kweli. Hapa hizi kelele tunaandika kwaajili ya watu kama hawa. Kweli utu ndiyo dini ni vile binadamu hatujui, ukiwa na utu, hutobagua kwa rangi, dini wala kabila. Tuko pamoja Mkuu, naimani tutaonana, tuombe uzima.Natamani Na Naamini Mungu Akitujalia Afya Ya Mifupa,,,Damu Na Nyama Tuje Kuonana Hata Isipo Kuwa Hivyo...Una Utu Sana...Na Haki Bila Kuanza Na Utu Ni Upuuzi Na Ukiritimba Mtupu......✊✊###Utu Na Kazi Tunasonga Mbele###
sema ni ng'ombe sio kama ng'ombe..Wamejazwa kama Ng'ombe
Cool B Lady...✊✊✊Ooh ahsante sana Palmoni kwa kuliona hili. Sijisifii ila nina utu kwa kweli. Hapa hizi kelele tunaandika kwaajili ya watu kama hawa. Kweli utu ndiyo dini ni vile binadamu hatujui, ukiwa na utu, hutobagua kwa rangi, dini wala kabila. Tuko pamoja Mkuu, naimani tutaonana, tuombe uzima.
Utatiki kwasababu huna akili.OKTOBA TUNA ✔️
View attachment 3375274jamaa kaamua kwanza awaangalie miguu hao "October wanatiki" kawaonea huruma sana wamama wa watu. Wametembea umbali mrefu then wanakuta tinga tinga limejaa jamani!!!!!
No election no Reform, kura yangu ni ya thamani sana, nitailinda kwa gharama zote.una chama kiko kwenye dhiki na hamaniko kubwa! Hakijiamini na kila kinachojaribu kufanya kinajiona kabisa hakitafanikiwa na kinaelekea mwisho wa enzi
Kaa kimya tu kuficha madhaifu yako!We usiejua utafanya nini ndio huna akili.
Angalia TBC huko Busega ndio utajua kwa nini OKTOBA TUNA ✔️.
Bila shaka wanaenda kupata huduma ya mifugo yao?Mayday ni neno la redio linalotambulika kimataifa kuashiria dhiki. Inatumiwa zaidi na ndege na boti, .. Maana nyingine ni kuomba msaada kwenye kiashiria kikubwa cha ajali
Kuna chama kiko kwenye dhiki na hamaniko kubwa! Hakijiamini na kila kinachojaribu kufanya kinajiona kabisa hakitafanikiwa na kinaelekea mwisho wa enzi
Hakuna siku inapita bila kuja na kituko kipya
Wanambuzi wa mambo wametathmini hali ilivyo na kuja na jibu moja kwamba kwasasa kwa matendo na hulka zake hiki chama hakina tofauti na rubani aombaye msaada wa mayday..maydayView attachment 3375253View attachment 3375254
Number zisomeke 107
Ilishakufaga (brain dead) kitambo... tunasubiri watoe machine (dolaMayday ni neno la redio linalotambulika kimataifa kuashiria dhiki. Inatumiwa zaidi na ndege na boti, .. Maana nyingine ni kuomba msaada kwenye kiashiria kikubwa cha ajali
Kuna chama kiko kwenye dhiki na hamaniko kubwa! Hakijiamini na kila kinachojaribu kufanya kinajiona kabisa hakitafanikiwa na kinaelekea mwisho wa enzi
Hakuna siku inapita bila kuja na kituko kipya
Wanambuzi wa mambo wametathmini hali ilivyo na kuja na jibu moja kwamba kwasasa kwa matendo na hulka zake hiki chama hakina tofauti na rubani aombaye msaada wa mayday..maydayView attachment 3375253View attachment 3375254