CCM: Mambo si mambo

Wewe uko UFIPA ya Lumumba yanakuhusu nini?

haman rais alienichosha kama huyu fast jet leo nimemuona kwenye gazeti nimeumwa kabisa ....ee mungu tuepushe na balaa ya rais kama huyu tena, nenda kikwete nenda mwana kwenda umetuchosha ,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Alaaa sasa mnayajua haya kwa nini bado mnaichagua CCM? mbona wanajionyesha jinsi gani walivyo wajinga yaani walijiunga CCM ili nao wapewe tenda? ama kweli nchi ya wajinga huchekana kwa ujinga!..
 
Waambieni habari zile za mnara wa Baberi ulivyoanguka
 

Mimi huwa nashawishika sana na hoja zako mkuu! uko neutral sana.
 

Afadhali hicho kidogo unachoambulia kuliko kwanye vyama vinavojifanya vinatete wananchi huko ndiko sheeda hamna mshahara ni posho tuu na hiyo posho mara uambiwe unachangia mafuta ya helikopta mara mchango kwa ajili ya mafuta ya gari wenywe waneemeka
 
Mangiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Alaaa sasa mnayajua haya kwa nini bado mnaichagua CCM? mbona wanajionyesha jinsi gani walivyo wajinga yaani walijiunga CCM ili nao wapewe tenda? ama kweli nchi ya wajinga huchekana kwa ujinga!..


Mbona Una maswali ya kujitekenya Sana?? wewe unaeisaidia CCM kupunguza makali ya UKAWA unahoji wanaoichagua CCM??

Too low!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…