CCM: Mambo si mambo

CCM: Mambo si mambo

Ukisikia mtu yupo au anahamia Ccm kwa sasa ni njaa inampeleka ndilo la Msing kwao

Watu hawa ndo wanaotufanya tuendelee kuish kwa namna hii mpaka leo na hii poa ni kwasababu ya umasikini wa fikila na utambuzi wa watu hawa
Kunahaja ya kuendelea kuwa elimisha
 
Last edited by a moderator:
Mambo si mambo ndani ya CCM.Kunafukuta.Yasome malalamiko ya Makada waandamizi wa CCM Ofisi Ndogo Lumumba,Dar es Salaam:

1. Viongozi wakuu wote wana makundi ya Urais ndani ya chama,sisi tunakatazwa tukiambiwa tusubiri taratibu za chama.Zipi?

2.Wanakula kuku sisi makombo.

3. Wanasafiri wao sisi tupo tu kama nyumba za NHC.

4.Tenda za vifaa vya uchaguzi kila mwaka wa uchaguzi wanapewa wale wale.

5.Wao wameshawapata wagombea wao kwenye majimbo halafu sisi tunasubiri kwenda kuigiza Kura za Maoni ndani ya chama.

6.Wao wanafanya biashara kubwa,sisi wanatuuzisha mashati na fulana za chama hapo nje-Lumumba.

Hapo 'nimesamaraizi' malalamiko yanayokandamizwa na miiko mikutanoni. Hali si shwari. Viongozi mpo?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ukoo wa panya, baba mwizi, mama mwizi, mtoto mwizi na mjukuu mwizi by Mh. Nasari
 
Mzee Tupatupa anafanya kazi nzuri sana ya kuumbua mafisdi
 
Mambo si mambo ndani ya CCM.Kunafukuta.Yasome malalamiko ya Makada waandamizi wa CCM Ofisi Ndogo Lumumba,Dar es Salaam:

1. Viongozi wakuu wote wana makundi ya Urais ndani ya chama,sisi tunakatazwa tukiambiwa tusubiri taratibu za chama.Zipi?

2.Wanakula kuku sisi makombo.

3. Wanasafiri wao sisi tupo tu kama nyumba za NHC.

4.Tenda za vifaa vya uchaguzi kila mwaka wa uchaguzi wanapewa wale wale.

5.Wao wameshawapata wagombea wao kwenye majimbo halafu sisi tunasubiri kwenda kuigiza Kura za Maoni ndani ya chama.

6.Wao wanafanya biashara kubwa,sisi wanatuuzisha mashati na fulana za chama hapo nje-Lumumba.

Hapo 'nimesamaraizi' malalamiko yanayokandamizwa na miiko mikutanoni. Hali si shwari. Viongozi mpo?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

CC: Mjuni Lwambo

Soma jinsi baadhi ya wana-CCM walivyomshambulia.
 
Last edited by a moderator:
Hivi bado kuna watu ni wanachama wa ccm mpaka leo ?
Wewe unaishi nchi gani kwa maana hata Rais na mawaziri wako huwafahamu. Hata baba yako mwenyewe ni CCM. Unauliza swali au unaleta vichekesho kwenye forum!
 
Tusubirie ile kesi ya mkuu wa wilaya kinondoni itakavyopasua chama. Mkuu atataka kuonesha ubabe huku Laigwanani akim bip.
Kahakama itadhihirisha ipo kusimamia sheria au matakwa ya mafarao.
 
Tehe! tehe! tehe! tehe!.......................
Mwaka huu wataziba shimo la panya kwa mkate
 
Mambo si mambo ndani ya CCM.Kunafukuta.Yasome malalamiko ya Makada waandamizi wa CCM Ofisi Ndogo Lumumba,Dar es Salaam:

1. Viongozi wakuu wote wana makundi ya Urais ndani ya chama,sisi tunakatazwa tukiambiwa tusubiri taratibu za chama.Zipi?

2.Wanakula kuku sisi makombo.

3. Wanasafiri wao sisi tupo tu kama nyumba za NHC.

4.Tenda za vifaa vya uchaguzi kila mwaka wa uchaguzi wanapewa wale wale.

5.Wao wameshawapata wagombea wao kwenye majimbo halafu sisi tunasubiri kwenda kuigiza Kura za Maoni ndani ya chama.

6.Wao wanafanya biashara kubwa,sisi wanatuuzisha mashati na fulana za chama hapo nje-Lumumba.

Hapo 'nimesamaraizi' malalamiko yanayokandamizwa na miiko mikutanoni. Hali si shwari. Viongozi mpo?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ivi kwani mzee tupatupa siku hizi fulana na kanga zenu mnauza? Maana ninavyofahamu Mimi mnakuwa mnagawa bure.Kweli CCM imekwisha.
 
Back
Top Bottom