VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
kijana huyo ni kiongozi wa ccm lumumba ; taarifa zake zinaheshimiwa sana hapa jukwaan.Unauhakika na usemacho?
Au unataka mjadala wa CCM JF?
Unauhakika na usemacho?
Au unataka mjadala wa CCM JF?
Unauhakika na usemacho?
Au unataka mjadala wa CCM JF?
yes, ni wale 50 and abavu. chini ya age hiyo basi ujue ni matatizo!!Hivi bado kuna watu ni wanachama wa ccm mpaka leo ?
Yes, ni baadhi ya wazee wachache sana waliobakia ndani ya Lumumba wenye hekima na busara!!Mzee Tupa Tupa,uzi wako huwa siuvuki hata siku moja!
Moderator nyuzi kama hizi za kizushi zisizo na ushahidi wowote hazifai kuachwa hapa jamvini.Mambo si mambo ndani ya CCM.Kunafukuta.Yasome malalamiko ya Makada waandamizi wa CCM Ofisi Ndogo Lumumba,Dar es Salaam:
1. Viongozi wakuu wote wana makundi ya Urais ndani ya chama,sisi tunakatazwa tukiambiwa tusubiri taratibu za chama.Zipi?
2.Wanakula kuku sisi makombo.
3. Wanasafiri wao sisi tupo tu kama nyumba za NHC.
4.Tenda za vifaa vya uchaguzi kila mwaka wa uchaguzi wanapewa wale wale.
5.Wao wameshawapata wagombea wao kwenye majimbo halafu sisi tunasubiri kwenda kuigiza Kura za Maoni ndani ya chama.
6.Wao wanafanya biashara kubwa,sisi wanatuuzisha mashati na fulana za chama hapo nje-Lumumba.
Hapo 'nimesamaraizi' malalamiko yanayokandamizwa na miiko mikutanoni. Hali si shwari. Viongozi mpo?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Moderator nyuzi kama hizi za kizushi zisizo na ushahidi wowote hazifai kuachwa hapa jamvini.
Unauhakika na usemacho?
Au unataka mjadala wa CCMJF?
yes, ni wale 50 and abavu. chini ya age hiyo basi ujue ni matatizo!!
Wewe uko UFIPA ya Lumumba yanakuhusu nini?Ndugu MUSSA ALLAN,wewe haupo Lumumba.Huko nako mna malalamiko yenu. Tulia ili chama kipate utatuzi wa mambo haya.Acha ushabiki na mihemko ndugu. Kada gani wewe usiye na uchungu na wenzako?
Mzee Tupatupa