CCM maji shingoni Igunga

We f*la @ritz huna hata haya kabisa CDM haina shida ya kusomba watu wenyewe wanajua wakiona wanaharakati sio nyie wenye asili ya pono kulala mtakuja lala hadi kwenye majukwaa.

wamezoea kuchakachua tu hao.... kuna mwisho na ndio huu unakaribia.

CDM mnaanda mazingara ili ionekana kwamba mmeonewa??

Haisaidii kulialia.....ccm itashinda kama kawa, watanzania hatutaki chama chenye vurugu na ukabila period.

msisahau kampeni za nyumba kwa nyumba zina saidia sana zile

chama cha magamba hawana dhamana hawa, ni wajunzi wa uchakachuaji, jihadharini na mambo kama hayo. walikuwa tayali kuleta watu kwenye ufunguzi wa kampeni hawatashindwa kufanya zaidi ya hayo

CDM mnaanda mazingara ili ionekana kwamba mmeonewa??

Haisaidii kulialia.....ccm itashinda kama kawa, watanzania hatutaki chama chenye vurugu na ukabila period.
Watanzania tumechoka na chama cha mafisadi yanayozidi kujineemesha yenyewe na watoto wao.Mukama na Kafumu lazima safari hii wakome na kufumuliwa nawana Igunga.Wali na pesa wanazotoa watachukua lakini siku ya kura ni kwa Kashindye.PPPpp

Ritz tayari kakoment. Bado Malaria Sugu, Mwita25 na Rejao. Tusubiri tuone coments zao..

CDM mnaanda mazingara ili ionekana kwamba mmeonewa??

Haisaidii kulialia.....ccm itashinda kama kawa, watanzania hatutaki chama chenye vurugu na ukabila period.

crap

Nimekaa kanda hiyo zaidi ya miaka sita, huwa hawasemi chochote zaidi ya mwisho kumchagua wanayemjua.Inahitaji mtaalam wa psycology kutambua wana Igunga wako mlengo gani kabla ya kujihakikishia ushindi kwa pande zote shindani.

jamani jamani hivi ccm mi nadhani viongozi ndo ma black minded, kumbe hata mashabiki wa chama ni hovyo hivi. Hivi Cdm wamekuwa wakusomba watu na maroli, kweli mmeshikwa pabaya. Na huo ni mwanzo we ritz endelea kutumika kama rough rider.

Posted by Mjengwa | Thursday, September 15, 2011

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"][TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Katibu wa Mkuu wa CHADEMA, Dr Salaa, akihutubia katika mkutano wa kampebni uchaguzi mdogo jimbo la Igunga kijijini Isakamaliwa leo mchana.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Watoto wa shule hawaendi shule leo?

Tunajua kuwa CCM wemebinafsisha migodi na nyumaba lakini kwa hoja hii inaonekana wamebinafsisha hata kufikiri eeh umebinafsishwa

Watanzania tumechoka na chama cha mafisadi yanayozidi kujineemesha yenyewe na watoto wao.Mukama na Kafumu lazima safari hii wakome na kufumuliwa nawana Igunga.Wali na pesa wanazotoa watachukua lakini siku ya kura ni kwa Kashindye.PPPpp

Afadhali ya CCM kuliko chama kinachohubiri vita na ubaguzi

Yaani CCM wamechoka na kupigika km sura ya AVATAR yako kwishnehiiiiiiiiiiiiii

Na hizi za siku ya jana.

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Siku hizi kazi ni kusomba watoto wa shule na kuwapiga picha ili tu mwonekane mnavuta watu mikutanoni. Upuuzi wa kipuuzi.

Afadhali ya CCM kuliko chama kinachohubiri vita na ubaguzi

Kama ubaguzi unatusaidia kuwafukuza hawa fisi wanaofilisi nchi, na uwepo! Afadhali ubaguzi mara dufu na sio huu UPUMBAVU unaofanywa na GENGE unaloliita chama chako.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…