Gentleman,Angalia uchaguzi wa USA, kila mmoja yuko Happy. Aliyeshinda, aliyeshindwa all are happy, maana HAKI IMETENDEKA. Hakuna anayelelamika maana haki imetendeka
Kweli hamna la kujifunza?
WASIRA, HUNA LA KUJIFUNZA, ASHO ROSE MIGIRO, HUNA LA KUJIFUNZA....
FARIS HUNA LA KUJIFUNZA BALI KUWAPOTEZA WAPINZANI!
Tumewashauri sana kujifunza kutoka kwa wenzetuAngalia uchaguzi wa USA, kila mmoja yuko Happy. Aliyeshinda, aliyeshindwa all are happy, maana HAKI IMETENDEKA. Hakuna anayelelamika maana haki imetendeka
Kweli hamna la kujifunza?
matokeo yameok hakuna anyelalamika....washindi na washindwa wote wako happyTumewashauri sana kujifunza kutoka kwa wenzetu
Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?
P
Ukisha lewa damu za watu huna kipya cha manufaa cha kujifuza zaidi ya kutamani kuua tena na tena ili utamalakiAngalia uchaguzi wa USA, kila mmoja yuko Happy. Aliyeshinda, aliyeshindwa all are happy, maana HAKI IMETENDEKA. Hakuna anayelelamika maana haki imetendeka
Kweli hamna la kujifunza?
WASIRA, HUNA LA KUJIFUNZA, ASHO ROSE MIGIRO, HUNA LA KUJIFUNZA....
FARIS HUNA LA KUJIFUNZA BALI KUWAPOTEZA WAPINZANI!
Hey Gentlewoman, are you crazy again?Gentleman,
katika kila nyakati za uchaguzi wa ndani ya chadema,
wanachadema huuana kwa hila za uchaguzi wao kwa wao.
Lakini zaidi sana,
katika kila uchaguzi mkuu Tanzania, chadema ama hususia uchaguzi kwasababu wanajua watashindwa vibaya au watasingizia kuibiwa kura ambazo wanajua wazi hawana kwasababu haaminiki wala kukubalika kwa wapiga kura, au watajaribu kuvuruga uchaguzi husika ingawa mara zote wameambulia patupu.
Kwa kiburi,
sidhani kama chadema wana la kujifunza kupitia uchaguzi huo wa Marekani, kwasababu wao wakishindwa hua ni kutukana na kuporomosha matusi tu π
lady!Hey Gentlewoman, are you crazy again?
Tumewashauri sana kujifunza kutoka kwa wenzetu
Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?
P
Hey tumbililady!
remember,
no fear no hate hypocrisy π
ok.πHey tumbili
Your deliberate attempt to mislead the community is both disgraceful and intellectually dishonest. Stop treating people as fools who cannot distinguish facts from your fabricated narratives. If you have nothing truthful or constructive to contribute, spare the community your misinformation. We need facts, not shameless propaganda from people desperate for attention.
You are obsessed with CHADEMA, he is only reffering to fair and free elections. Uchawa bhanaGentleman,
katika kila nyakati za uchaguzi wa ndani ya chadema,
wanachadema huuana kwa hila za uchaguzi wao kwa wao.
Lakini zaidi sana,
katika kila uchaguzi mkuu Tanzania, chadema ama hususia uchaguzi kwasababu wanajua watashindwa vibaya au watasingizia kuibiwa kura ambazo wanajua wazi hawana kwasababu haaminiki wala kukubalika kwa wapiga kura, au watajaribu kuvuruga uchaguzi husika ingawa mara zote wameambulia patupu.
Kwa kiburi,
sidhani kama chadema wana la kujifunza kupitia uchaguzi huo wa Marekani, kwasababu wao wakishindwa hua ni kutukana na kuporomosha matusi tu π
Gentlewomanok.π
Hoja zenu zimejaa chuki za kisiasa kuliko uhalisia. Mkurugenzi anayesimamia uchaguzi anateuliwa na nani? Inakuwaje mtu anayeteuliwa na serikali asimamie uchaguzi ambao chama kilichopo madarakani kinashiriki?Gentleman,
katika kila nyakati za uchaguzi wa ndani ya chadema,
wanachadema huuana kwa hila za uchaguzi wao kwa wao.
Lakini zaidi sana,
katika kila uchaguzi mkuu Tanzania, chadema ama hususia uchaguzi kwasababu wanajua watashindwa vibaya au watasingizia kuibiwa kura ambazo wanajua wazi hawana kwasababu haaminiki wala kukubalika kwa wapiga kura, au watajaribu kuvuruga uchaguzi husika ingawa mara zote wameambulia patupu.
Kwa kiburi,
sidhani kama chadema wana la kujifunza kupitia uchaguzi huo wa Marekani, kwasababu wao wakishindwa hua ni kutukana na kuporomosha matusi tu π
kususia uchaguzi au kusingizia kuibiwa kura hakuwezi kufanya uchaguzi mkuu wa kikatiba TANZANIA usifanyike gentleman.Hoja zenu zimejaa chuki za kisiasa kuliko uhalisia. Mkurugenzi anayesimamia uchaguzi anateuliwa na nani? Inakuwaje mtu anayeteuliwa na serikali asimamie uchaguzi ambao chama kilichopo madarakani kinashiriki?
Pia, wakuu wa mikoa na wilaya wanateuliwa na nani? Kuna wanajeshi wanaoteuliwa kushika nafasi hizo, halafu wanakuwa wajumbe wa kamati za ulinzi na usalama. Hayo hamuyaoni au mnajifanya hamuyaelewi?
Demokrasia haiwezi kuwa ya upande mmoja. Huwezi kutaka wapinzani wakubali matokeo wakati kuna maswali mazito kuhusu uhuru na uadilifu wa wasimamizi wa uchaguzi. Kama kweli mnaamini demokrasia, anzeni kujibu hoja hizi badala ya kukimbilia matusi na kuwashambulia CHADEMA. Kushinda uchaguzi hakumaanishi kila kitu kilikuwa sawa, na kupinga kasoro siyo uadui kwa taifa.
Lady!,Gentlewoman
Your pathetic attempt to mock someone only exposes your own intellectual poverty, insecurity and lack of basic maturity.
You clearly mistake arrogance for intelligence and cheap ridicule for superiority.
Before attempting to belittle others, take a serious look at your own shortcomings. You are in no position to look down on anyone.
Try to relax gentlewoman
U nailed it,I couldn't agree more!Hey tumbili
Your deliberate attempt to mislead the community is both disgraceful and intellectually dishonest. Stop treating people as fools who cannot distinguish facts from your fabricated narratives. If you have nothing truthful or constructive to contribute, spare the community your misinformation. We need facts, not shameless propaganda from people desperate for attention.
Hey GentlewomanLady!,
calm down plz π
ExactlyU nailed it,I couldn't agree more!
The guy has some lose screws!