Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
- Thread starter
- #21
acha ndoto za mchana wewe, serikali ya ccm imejenga mtandao wa barabara za lami nchi nzima,imejenga shule za sekondari kila kata nchi nzima,imejenga vyuo vikuu kadhaa na hivyo kuongeza graduate kutoka ef 3 hadi ef 30 kwa mwaka na sasa inaboresha miundombinu ya reli nchi nzima.usitumie kichwa kufugia nywele peke ake
Graduates aina yenu ni mzigo kwa taifa. CCM lazima ife tu!