CCM kwisha kabisa

Jeshi hawahusiki hapo. Wao wanalinda mipaka
 
Huyo kwao ni asset si rahisi kumfukuza kipindi hiki wanatambua stronghold ya kanda ya ziwa especially Sukuma gang itawasumbua sana. Lazima calculation zao ziwe smart.
hahaaa!! Calculator mkononi siyo!

Si Saamia mwenyewe, wala Makamba na Kikwete, anayeweza kumjibu Gwajima.
Gwajiboy anajua taarabu, atawavua nguo. Na sasa usalama wa Taufa wako upande wake.
 
Utaziponza biashara zao na familia zao. Kwa akili ya policcm watawateka wawaue.

Sema cha kufanya post tena na tena kwenye mitandao ya kijamii.
 

Kama Tarimba sijui watu wa Kino Waliwezaje kumchagua.

Unakuta kabisa zee zima lakin akili hamna hata mojaa
 
Nakuonea huruma ulivyochanganyikiwa na unaumwa una stress
 
Historia itambebe Gwajima km mtu pekee aliesimama na udhalimu...

Maua mengine ni kwa majirani zetu,vijana Shupavu Gen Z.

May the almighty God protects these incredible Souls
 
Tumerogwa na Mwl Nyerere kuna matambiko yake hapana yametuachia upumbuvu

Sio matambiko ya Nyerere au kitu cha uchawi na uongo uongo. .
Ni vitu dhahiri alifanya na vilipaswa vifundishwe hata mashuleni ni vibovu na vifutwe.

Kwa mfano akaandika kwenye katiba:

RAIS NI SEHEMU YA BUNGE
-----------------
Huna upeo ukiwa darasa la nne wala maneno ya kuuliza, hivi we ticha kuna separation of powers gani hapo kama Rais nae ana sauti bungeni ??????????

Unakuwa brainwashed mapema kukubaliana na manguvu ya Rais, na kumtukuza.
 
Sasa mkuu kwa lichama lake hili linavyo umiza watu kweli tufanyeje sasa
 
Tun
Gwajima nimeamini ni mtu mwenye akili Sana , nilikua najiuliza kwa nini nchi haisogei kumbe jibu rahisi Sana aina ya wawakilishi wetu ni ya kipekee
Tuna wawakilishi makanjanja sana hii nchi, wanatia aibu sana
 
Hatut
Wanamfuta uanachama kwa kusema kweli🤔🥺
Sitashangaa hata kidogo. Hicho chama unapaswa kuwa mtu wa kusifia na kuimba wimbo wa hakuna kama mama, anaupiga mwingi nk. Ukisema mambo yanayopaswa kubadilishwa wewe ni mpinzani. Hawataki kusikia ukweli hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…