CCM kwisha kabisa

Wanajifanya wanajua kumbe hawajui kujibu hoja
 
Alishindwa Bashite wa kipindi kile sembuse hawa.
 
Bishungwa sasa ni Bokasa, Bishungwa sasa ni Elibashiri, Bishungwa sasa ni mabutu ni kaburu ni iddy Amin Dada kawa ibirisi kajisahau kuwa kuna maisha baada ya uwaziri sasa Bishungwa ndiyo shetani mkuu ccm
 
Ila mboga mboga bana,just imagine Leo hii wanamsema Gwqjima eti ahadi zake hajatekeleza,utafikiri hakua mboga mboga mwenzao na alikua anasimamia ilani Yao..Kuna muda ukiwafakiria mboga mboga utagundua wana akili tu za kuvukia barabara tu.
 
Ila mboga mboga bana,just imagine Leo hii wanamsema Gwqjima eti ahadi zake hajatekeleza,utafikiri hakua mboga mboga mwenzao na alikua anasimamia ilani Yao..Kuna muda ukiwafakiria mboga mboga utagundua wana akili tu za kuvukia barabara.
Abasi Tarimba ni mbunge wa hovyo sana hana maendeleo kaleta jimbo la kinondoni zaidi ya kuiba pesa za watu kupitia kwenye kubeti ni mbunge wa hovyo kazi kupiga mkorogo kama Nyoshi wa miziki ya congo
 
Ndiyo ushangae na jiwe akiwepo. Leo hii hawa ndiyo wamsumbue wanajichosha tu. Gwaji ni zaidi ya tunavyomuona kwa macho ya nyama. Ndiyo mtu pekee nchini kayasemea maovu ya utekaji na mauaji akiwa nchini na bado yupo.
Gwajiboi yuko vizuri. Hawa machawa watachemsha. Kupambana na Bashite na dad wake akiwepo lilikuwa jambo hatari sana...na aliibuka kidedea. Sembuse hawa wanaoropoka ropoka na kubweka tu bila mantiki. Yetu macho!

Your browser is not able to display this video.
 
πŸ˜‚
Chama kimejaa viazi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…