CCM kwisha kabisa

CCM kwisha kabisa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,950
Reaction score
828,644
Yaani speech moja tu ya kada wake kuishauri mamlaka ya juu... Wote wamejaa kwenye mfumo wake

Tangu juzi siku moja bada ya speech yake iliyowakonga nyoyo Watanganyika wengi... Makada, chawa kunguni na viroboto wanashindana mitandaoni na kwenye press conference za mchongo kumjibu
Kujibu sio tatizo je wanajibu nini?

Mipasho
Kejeli
Matusi
Vitisho
Mipasho
Mazonge yake ya nyuma
Mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyejitokeza kumpongeza na kumshukuru kwa uthubutu mkubwa aliouonesha.. Kila anayenyanyua kinywa chake anatoa boko lake kumzidi mwenzake

Wanapofanya hivi wanadhani wanamfurahishq rais kumbe ndio wanazidi kumharibia, kumbe ndivyo wanavyozidi kukifanya chama kizidi kuchukiwa

Ndani ya saa 48 Gwajima amesjageuka shujaa na staa kuliko mwanzo

Naye anasafiria upepo huo.. Anadonyoa donyoa hapa na kule.. Na kila anapodonyoa anahakikisha anatoa kitu chenye maana, miongozo na maono mbalimbali kuhusu Tanganyika😂
Tulipofeli

Tulipokosea

Tulipoharibu na nini tunatakiwa tufanye nini kwenye nini kuondokana na mikwamo ya muda mrefu😂😂😂😂
CCM watafute haraka mtu mwenye hekima wa kuwajibu hawa wanaomjibu Gwajima la sivyo atazidi kujijenga binafsi huku akizidi kukibomoa chama chao chakavu mahututi kilichojichokea na kukongoloka kabisa
IMG-20250527-WA0002.jpg
 
Gwajima amelonga
Ajibiwe kwa HOJA na siyo VIROJA.
kwamba watu 83 wametekwa naamlaka zipo.
Kwamba wakuu wa vyombo wasibadilishwe kama " nguo za ndani"
Kwamba maslahi ya TISS yaongezwe
Yyete mwenye kumjibu gwajima nje ya hapa ni chawa tu
 
Yaani speech moja tu ya kada wake kuishauri mamlaka ya juu... Wote wamejaa kwenye mfumo wake
Tangu juzi siku moja bada ya speech yake iliyowakonga nyoyo Watanganyika wengi... Makada, chawa kunguni na viroboto wanashindana mitandaoni na kwenye press conference za mchongo kumjibu
Kujibu sio tatizo je wanajibu nini?
Mipasho
Kejeli
Matusi
Vitisho
Mipasho
Mazonge yake ya nyuma
Mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyejitokeza kumpongeza na kumshukuru kwa uthubutu mkubwa aliouonesha.. Kila anayenyanyua kinywa chake anatoa boko lake kumzidi mwenzake

Wanapofanya hivi wanadhani wanamfurahishq rais kumbe ndio wanazidi kumharibia, kumbe ndivyo wanavyozidi kukifanya chama kizidi kuchukiwa
Ndani ya saa 48 Gwajima amesjageuka shujaa na staa kuliko mwanzo
Naye anasafiria upepo huo.. Anadonyoa donyoa hapa na kule.. Na kila anapodonyoa anahakikisha anatoa kitu chenye maana, miongozo na maono mbalimbali kuhusu Tanganyika😂
Tulipofeli
Tulipokosea
Tulipoharibu na nini tunatakiwa tufanye nini kwenye nini kuondokana na mikwamo ya muda mrefu😂😂😂😂
CCM watafute haraka mtu mwenye hekima wa kuwajibu hawa wanaomjibu Gwajima la sivyo atazidi kujijenga binafsi huku akizidi kukibomoa chama chao chakavu mahututi kilichojichokea na kukongoloka kabisaView attachment 3347706
Mkuu shida sisi watanganyika hatuwezi kuamka na kudai nchi yetu kwa umoja
 
Naona wamemleta Mzee Yusuf Makamba atie kiitikio cha mipasho Yao.
Cha kuchekesha Gwajima amekuwa agenda ya mkutano wao wamesahau hata kilicho wapeleka Dodoma
Cha kuchekesha Gwajima amekuwa agenda ya mkutano wao wamesahau hata kilicho wapeleka Dodoma🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom