CCM kweli imechoka

Naona wana "saccos" wamechanganyikiwa hivyo kila siku watazusha jambo hata kama sio jambo
Kwanza tuulizane. Polepole zile Simu anapiga kwa nafasi yake ya Ubunge wa kuteuliwa ama kama Katibu Mwenezi wa CCM?

Wabunge wengine wa kuteuliwa kama Polepole wanaweza kupiga Simu na kuwaagiza wakuu wa serikali na vyombo vya dola kufanya Jambo lolote lile!!??
 
Pamoja na kuwa na wabunge zaidi ya 300 Bungeni, lakini kutokana na CCM kuwa na uchakavu, bado kinamhitaji Humphrey Polepole kupokea Simu za wananchi, ili kiweze kuisimamia Serikali.

AIBU SANA!!
Hujui maana ya kusimamia. Kwa nini usimpigie Polepole umpe huu ushauri akupe naye maoni yake.
 
Lazima ufipa wapoteane maana hawana pa kupatia airtime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…