CCM Kwaheri ndani ya Mkoa wa Kigoma 2015

CCM Kwaheri ndani ya Mkoa wa Kigoma 2015

Hivi zile tetesi zilizoenea Arusha ni za kweli?

I mean, hivi ni kweli kunamheshimiwa mbunge kutoka Chadema kiboga kinaliwa?

wananchi wanaangalia walichomtuma, hayo ya private hayawahusu hata kama ni kweli. Na ni bora hivyo kuliko kwenda nje ukahongwa neti na suti halafu kila kukicha unapishana na fastjet zikibeba madini yako na wanyama halafu unasema ni uwekezaji.
 
unajifariji subili uone moto wa ccm hao chadema hawatapata kiti hata kimoja na ukizingatia zito wamemweka kando ngoma itakuwa pevu.

Wewe ndiyo mchovu kweli hivi watu wa Kigoma unawaelewa? Wale siyo Wagogo bana? By the way what has ZITTO to do with Kigoma politics? Chadema ilikuwa moto KGM zitto wako bado yuko KINDERGARTEN! Hata zitto anawajua vizuri ndiyo maana hafanyi kosa la kutoka CDM!!
 
Koma mwenyewe na chunga lugha yako

in fact bwana mdogo wewe ndiyo unatakiwa uchunge lugha yako utaiwataje waha wachagga wa kigoma? Achaga dharau, waha wanajisimamia kivyao na wachagga kivyao!
 
Wananchi wa mtwara nao ni vema wakiagana na CCM mwaka 2015. CCMimewatenda vibaya kwa miaka zaidi ya50 sasa imepeleka jeshi likawabake mama zetu huko.
 
kwa taarifa yako mbadala wa zito ni zaidi ya zito, huyo ndiyo mwalimu wa zito katika siasa, anaitwa yaredi fubusa, huyo ni zaidi ya tundu lisu, kwa wale waliosoma milambo sec 1994 wanamkumbuka alikuwa mwenyekiti wa shule akapingana na walimu kwa msimamu dhabiti wakamtoa, akiwa shule aliwahi kumtikisa dr warid kabour wakati huo upinzania ulikuwa kigoma tu tanzania nzima, arusha wamejifunza siasa za upinzani kutoka kigoma, ni mkoa uliotoa mbunge kutoka chadema aka upinzani nchi nzima yaani dr. Warid kabour 1993 mwaka mmoja tu baada ya kuruhusiwa kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa. Arusha wanapata machungu ya polisi sasa wakati sisi hata makovu yanafutika, kwenye uchaguzi wa 1994 train mbili zikiwa na askali polisi zilitua kuzima upinzania lakini walishindwa. Hivyo kaskazini ni wajukuu wa siasa za upinzani kwetu. Sisi hatuandamani wala kupigana tunafanya kweli kwenye sanduku la kupiga kura, ukisema tuandamane tunakuacha tunaenda zetu shambani au kazini lakini letu moja. Hata hatuhitaji kuhamasishwa tunajua wajibu wetu kwaani tumekomaa kisiasa kama wapiga kura. Na hatuchagui majina bali tunachagua wachapa kazi mfano: Zito kabwe, moses machali, mkosamali, david kafulila nani asiyejua michango yao bungeni? Na kama si hila za ccm kuiba kura kwenye majimbo ya kigoma mjini peter serukamba na obama kasulu magharibi ccm ingekuwa hoi, kidogo mheshimiwa waziri eng christopher chiza kwa sababu hana siasa za maji taka tunamheshimu japo yupo ccm.

Watanzania njooni mjifunze siasa kigoma.

ni kweli kigoma ndio magwiji wa siasa za upinzani.tatizo lenu ni moja hamweleweki na hamna msimamo.mnajifanya mko upinzani kumbe mko ccm.mnajua nccr ni ccm be??.mnajua tuhuma zinazoelekezwa kwa zitto??kaburu yuko wapi?nsanzugwako?hamna lolote.
 
Back
Top Bottom