CCM kwachafuka, safu mpya yaleta kizungumkuti

B

Bora chama cha majipu wanatumbuana wenyewe kuliko chama cha wapiga dili. Muulize Mbowe alikula bei gani toka kwa fisadi mkuu
Labda tukuukize wew uliyeona ni fedha,eti ni shilingi ngapi? na je ni sehemu gani waliuziana na risiti ilitolewa?

Ili tujue kama kuna kodi ilikwepwa au lahh , maana vijana wa Lumumba kwa majungu bila facts hamjambo...
 
Huku mwezi wa sita ukikaribia kwa kazi,mwezi wa kumkabidhi Uenyekiti wa CCM Rais John P. Magufuli,safu mpya ya uongozi wa CCM imeanza kuleta kizungumkuti chamani. Vigogo wa chama na makada wakongwe wameanza kupigana vikumbo vya tambo ili wachomoze katika safu mpya.

Makundi mbalimbali,sawia na yale ya wakati wa uchaguzi mkuu,yamechomoza upya huku kila kundi likitaka kupenyeza mtu wake kwenye safu mpya. Baada ya Mwenyekiti mpya wa kitaifa kupatikana,watateuliwa na kuchaguliwa viongozi wapya wa CCM wakiwemo Makamu wa Mwenyekiti wa Tanzania Bara na Zanzibar; Katibu Mkuu,Naibu Katibu Mkuu,Wajumbe wa Kamati Kuu na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

Kumekucha ndani ya CCM. Mtumbua majipu anakaribia kutwaa chama,vikumbo kwa maslahi gani?

Mzee Tupatupa wa 'Ulevini' Lumumba,Dar es Salaam

Kaka hapo ndio CCM inapoingia kwenye mtikisiko mkubwa, iko hivi, Magufuli yeye sio CCM kindakindaki ni CCM wa kadi na hajawahi katika maisha yake kuwa kiongozi wa chama hata kwa ngazi ya shina, ana group lake la hao wana CCM wasiokifia chama, design ya kina Muhongo, Ndelichako, Majaliwa, Kitwanga nk
kwa hiyo Magufuli ni rahisi mno kuwateua hao wa aina yake kuwa viongozi wa chama, kuliko wapiga kelele kama Nape, Makamba na wa aina hiyo ambao ni wamejaa chamani,

dalili zilionekana wakati wa uteuzi wa baraza la Mawaziri, Anko Magu aliwatosa wana CCM waliokuwa wakipiga kelele na kukipigania chama na aliowachagua aliwapa wizara zisizo mashiko (Makamba, Nnape), lakini aliwapa vyeo vilivyotukuka wana CCM wa aina yake

CCM itapata shida ikikosa wapiga kelele na waamasishaji wa kike na kiume

CCM mpya yenye sura mpya yaja! Ila nina uhakika kwa asilimia zaidi ya 70 kuwa Nchimbi yuko njiani kwenda Chadema
 
Magufuli akikubali kuwa mmoja wao yaani lile kundi la wafia chama kila alilolianzisha na kulisimamia litayeyuka kama siagi kikaangoni. Ni bora mara mia akaja na wale walio dynamic and flexible kuliko kuendelea na waliopo wenye magamba ya chuma.

Akiwa mwenyekiti akibadili chama na kukiendesha kisayansi kwa kuwarudishia wakulima na wafanyakazi chama chao kilichoporwa na wafanyabiashara.
 
Walianza kulewa kabla 'malaika" hajapewa kijiti, sasa akipewa wote watakuwa mateja maana walizoea mteremko wa vikao na posho, sasa malaika anashiba mana kutoka mbinguni hana shida na pesa zote kazifungia, mbona wata juta.
 
Huku mwezi wa sita ukikaribia kwa kazi,mwezi wa kumkabidhi Uenyekiti wa CCM Rais John P. Magufuli,safu mpya ya uongozi wa CCM imeanza kuleta kizungumkuti chamani. Vigogo wa chama na makada wakongwe wameanza kupigana vikumbo vya tambo ili wachomoze katika safu mpya.

Makundi mbalimbali,sawia na yale ya wakati wa uchaguzi mkuu,yamechomoza upya huku kila kundi likitaka kupenyeza mtu wake kwenye safu mpya. Baada ya Mwenyekiti mpya wa kitaifa kupatikana,watateuliwa na kuchaguliwa viongozi wapya wa CCM wakiwemo Makamu wa Mwenyekiti wa Tanzania Bara na Zanzibar; Katibu Mkuu,Naibu Katibu Mkuu,Wajumbe wa Kamati Kuu na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

Kumekucha ndani ya CCM. Mtumbua majipu anakaribia kutwaa chama,vikumbo kwa maslahi gani?

Mzee Tupatupa wa 'Ulevini' Lumumba,Dar es Salaam
Inasemekana Lizi moko ni kati ya wanaopinga hilo...
 
Yaani imetokea mimi kuwa FAN wa Mama Makinda baada ya kumaliza u spika.Yule ni mama na anazo sifa za mama...kama umenielewa, basi tuwe mguu kwa mguu mpaka..................
 
Huku mwezi wa sita ukikaribia kwa kazi,mwezi wa kumkabidhi Uenyekiti wa CCM Rais John P. Magufuli,safu mpya ya uongozi wa CCM imeanza kuleta kizungumkuti chamani. Vigogo wa chama na makada wakongwe wameanza kupigana vikumbo vya tambo ili wachomoze katika safu mpya.

Makundi mbalimbali,sawia na yale ya wakati wa uchaguzi mkuu,yamechomoza upya huku kila kundi likitaka kupenyeza mtu wake kwenye safu mpya. Baada ya Mwenyekiti mpya wa kitaifa kupatikana,watateuliwa na kuchaguliwa viongozi wapya wa CCM wakiwemo Makamu wa Mwenyekiti wa Tanzania Bara na Zanzibar; Katibu Mkuu,Naibu Katibu Mkuu,Wajumbe wa Kamati Kuu na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

Kumekucha ndani ya CCM. Mtumbua majipu anakaribia kutwaa chama,vikumbo kwa maslahi gani?

Mzee Tupatupa wa 'Ulevini' Lumumba,Dar es Salaam

Waache wafu wazike wafu wao!
 
Escrow
Meli Chakavu
Nyumba za umma
Lugumi
EPA
Dowans Richmond
Meremeta
Kiwira
Kagoda
Rada
NBC
Sukari
N.k. yoote ni madili ya Chama Cha Majipu Chenye Kansa ya Rushwa na Ufisadi...

Kumbe na Sukari imo!!!
 
Hata huyo mzee Tupatupa anahaha kutafta nafasi aendelee kula vinono vya Lumumba... Sema tu ajatanabaisha yeye yuko kundi gani....
 
Huku mwezi wa sita ukikaribia kwa kazi,mwezi wa kumkabidhi Uenyekiti wa CCM Rais John P. Magufuli,safu mpya ya uongozi wa CCM imeanza kuleta kizungumkuti chamani. Vigogo wa chama na makada wakongwe wameanza kupigana vikumbo vya tambo ili wachomoze katika safu mpya.

Makundi mbalimbali,sawia na yale ya wakati wa uchaguzi mkuu,yamechomoza upya huku kila kundi likitaka kupenyeza mtu wake kwenye safu mpya. Baada ya Mwenyekiti mpya wa kitaifa kupatikana,watateuliwa na kuchaguliwa viongozi wapya wa CCM wakiwemo Makamu wa Mwenyekiti wa Tanzania Bara na Zanzibar; Katibu Mkuu,Naibu Katibu Mkuu,Wajumbe wa Kamati Kuu na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

Kumekucha ndani ya CCM. Mtumbua majipu anakaribia kutwaa chama,vikumbo kwa maslahi gani?

Mzee Tupatupa wa 'Ulevini' Lumumba,Dar es Salaam
Uchuro mtupu hakuna cha maana hata kimoja umeandika kwenye andiko lako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom