CCM kutumia helikopta ktk kampeni Arumeru

CCM kutumia helikopta ktk kampeni Arumeru

Wanajamvi,

TAARIFA muhimu toka makao makao madogo ya CCM Lumumba zinaeleza kuwa licha ya mabishano ya chopa itumike ama isitumike kutokana na hatari ya mlima meru hatimaye chopa kutumika rasmi ktk siku za mwisho wa kampeni.

Habari ambazo zimethibitishwa mtu wangu wa karibu lumumba zinasema wale waliokuwa wanapinga chopa kutumika wana hoja za 10% kuwaendea wanaotaka chopa ktk ukodishaji.

YOTE KWA YOTE NI JINSI YA KUKABILIANA NA MOTO WA CHADEMA WANAOKUBALIKA ktk jimbo la mer
UMESEMA KUTOKANA NA HATARI YA MLIMA MERU,KUWA WAZI KIDOGO UTAFANYA NINI
 
ushndi ni kwa ccm ili nawambieni wanajf,najua mtabisha
 
Hata wakitumia rocket, kwa jimbo la arumeru hawapati kitu.
 
ccm kwnye chaguzi hzi ndogo wanajua sana kuzitmia,hakika wanacdm na wanajf mjipange tu,ushndi ni ccm,na nahis watamtumia tema mzee wetu mkapa kuwamaliza tena cdm kama igunga
 
nasikia harufu ya ajali kama wanauana kwa sumu kama panya, kwenye chopa si watadunguana kama tetere kwa manati?
 
Back
Top Bottom