chama cha mapinduzi hakitatumia helikopta katika uchaguzi wa arumeru mashariki,nimeongea na kiongozi mmoja amenidokeza kuwa hali hiyo inatokana na uchaguzi huo kuwa laini mara hamsini ya ule wa igunga.tayari wana madiwani wote 17 wa kata na wengine saba wa viti maalumu,wanawenyeviti wote wa vijiji vilivyoko jimboni humo na pia wana mabalozi.lakini jamaa wanapiga kampeni kisayansi sana kwani hivi sasa wamesambaza makada wao katika vijiji vyote na wanapiga kampeni za nyumba kwa nyumba na kuongea na wapiga kura kwa ushawishi wa hali juu anaeleza mikutano ya hadhara hutoa uhakika wa ushindi wa asilimia thelathini tu lakini pia anabainisha kuwa idadi kubwa ya wapiga kura ni wazee na wanawake ambao asilimia tisini ni wa kwao huku idadi kubwa ya vijana ikiwa haimo ndani ya daftari la wapiga kura kwa kifupia anasema kuwa kuvuta watu kwa helikopta hakuto taswira halisi ya wahudhuriaji