Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 309
Nimeipenda hiyo;Acha mawazo hayo wewe ccm wanaweza kushinda kama uchaguzi utafanyika kataka ofisi ndogo za lumumba na kama jk atagombea
kinyume kabisa ya baadhi ya wana CCM wanavyotazamia, hukumu hii inaweza kuiharibia zaidi CCM na kuuongeza umaarufu wa CHADEMA Arusha na nchi nzima. Tetesi za mafisadi kupenyeza rupia ili Lema ashindwe zilishaenea ndani na nje ya nchi wiki kadhaa kabla na wengi hawakushangazwa sana na uamuzi wa Jaji pamoja na kwamba ulifanywa kisiasa zaidi.Kuna uwezekano mkubwa kuwa CCM hawatasimamisha mgombea Arusha Mjini.
Wanajua kutakuwa na kura za hasira kwa jinsi kesi ilivyoendeshwa na namna hukumu ilivyotolewa.
Pili wanajua kuwa chama hakina tena mvuto kwa wananchi hasa hasa mijini na kama uchaguzi utarudiwa yatatokea yale yale ya Arumeru Mashariki.
Tatu, katika CCM ya sasa hakuna tena kada anayeamika kwa wananchi, Nkapa kachemsha na sidhani yuko tayari kudhalilishwa mara ya pili ndani ya miezi mitatu, Six amejaribu Kirumba kachemsha, Mama Kilango kachemsha Kiwira(vijijini), sijui sasa watamtuma nani akamsaidie mgombea wao. Kwa upande mwingine CHADEMA hata wakinituma mimi, ambaya hata sina cheo, nitawaongoza kushinda.
Kama wakifanya kosa wakasimamisha mgombea, na kulingana na upepo wa kisiasa wa sasa watapoteza tena uchaguzi, watakuwa wameamua rasimi kurudisha serikali mikononi mwa Wananchi kwani 2015 itakuwa ni kujumlisha kura tu!
Naona kuna uwezekano mkubwa kimada wa sisiyemu anaweza kuombwa asimamishe mgombea ambaye magamba watamuunga mkono nyuma ya pazia na kujiepusha na aibu ya kushindwa mara mbili ndani ya miezi mitatu.
Naomba kuwasilisha
Nina wasiwasi mkubwa sana kama mwenyekiti wa CCM ana watu makini wa kumshauri.
Endapo CHADEMA watakata rufaa kwa kesi hii ushindi uko wazi kwani hata mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Sheria anaweza kubaini kasoro zilizoko katika hukumu hii. Ndiyo maana wengi wameiita hukumu "Ya kisiasa" Tatizo lililopo ni moja, nalo ni urasimu unaotawala sekta ya sheria unaweza kuchelewesha kesi hii hadi 2014 hivyo kupoteza maana kabisa. Binafsi nashauri CHADEMA wasikate rufaa bali wakubali ili jimbo litangazwe wazi, uitishwe uchaguzi mwingine ambapo CCM itajeruhiwa zaidi katika kampeni na kupoteza umaarufu nchi nzima. Ni katika ushiriki wa kampeni kama hizi CHADEMA imefikia umaarufu inaojivunia na CCM imepoteza umaarufu inaoujutia.Nimeipenda hiyo;
Nilipofuatilia kesi ya Lema yote, sikuona ushahidi wowote wa kufanya ubunge huo utenguliwa. Kwa vile gharama za uchaguzi huwa ni kubwa sana kwa taifa na vile vile kuvuliwa kwa mbunge kunakosesha wananchi wake uwakilishi bungeni, nilitegemea mahakama za uchaguzi ziwe zinafanya maamuzi ya busara sana kuangalia iwapo madai yaliyoko mbele yake yangeweza kubadilisha matokeo ya uchaguzi kweli kweli kweli badala ya visababu uchwara ambavyo haviwezi kubadilisha matokeo. Hata tume ya uchaguzi wakati wakitangaza kumtawaza Kikwete, walisema kuwa kasoro zilizokuwa zimonekana katika uchaguzi hule zisingeweza kubadili matokeao, na hilo ndilo linalotakiwa kuwa linaangaliwa. Sasa hivi visababu uchwara vya ".... niliambiwa kuwa alisema hivi.." siyo sababu za msingi ambazo zingeweza kubadili matokeo yale. Nina imani kuwa kesi hii ikisikilizwa na mahakimu wasio kuwa na upendelea wataitupilia mbali.
Ikishinda mtafanyaje? nauliza tu
Mbona chadema mnaonekana madikteta; heshimuni mahakama
Wananchi wanatakiwa kuelimishwa madhara ya chadema kwa taifa..
kinyume kabisa ya baadhi ya wana CCM wanavyotazamia, hukumu hii inaweza kuiharibia zaidi CCM na kuuongeza umaarufu wa CHADEMA Arusha na nchi nzima. Tetesi za mafisadi kupenyeza rupia ili Lema ashindwe zilishaenea ndani na nje ya nchi wiki kadhaa kabla na wengi hawakushangazwa sana na uamuzi wa Jaji pamoja na kwamba ulifanywa kisiasa zaidi.
Uchaguzi mpya Arusha utaipa fursa CHADEMA ya kuuhamasisha umma wa Tanzania nzima kuikataa CCM katika uchaguzi huo na chaguzi nyingine zitakazojitokeza, na kwa jinsi ilivyo kushindwa tena Arusha kutaashiria mwisho wa utawala mkongwe wa CCM. Sasa CCM wanabakiwa na machaguo mawili tu; wajitose, wasambaratishwe na wapoteze kabisa umaarufu wao nchini au watafute sababu za kujitoa ili wasiaibike zaidi na wawaache wananchi na mashaka kama wanafaa au la.
Nasema tena, hakuna uwezekano wa CCM kulitwaa jimbo la Arusha mjini hata wakimweka nani kwani CHADEMA tayari wana turufu katika kampeni zozote za jimbo hilo kutokana na mauaji ya kijinga yaliyofanywa na Polisi mjini humo kwa maelekezo toka juu na ambayo hadi leo hakuna Tume huru iliyochunguza na kuchukua hatua thabiti juu ya hilo.
Ikishinda mtafanyaje? nauliza tu
Mbona chadema mnaonekana madikteta; heshimuni mahakama
Wananchi wanatakiwa kuelimishwa madhara ya chadema kwa taifa..
Kuna uwezekano mkubwa kuwa CCM hawatasimamisha mgombea Arusha Mjini.
Wanajua kutakuwa na kura za hasira kwa jinsi kesi ilivyoendeshwa na namna hukumu ilivyotolewa.
Pili wanajua kuwa chama hakina tena mvuto kwa wananchi hasa hasa mijini na kama uchaguzi utarudiwa yatatokea yale yale ya Arumeru Mashariki.
Tatu, katika CCM ya sasa hakuna tena kada anayeamika kwa wananchi, Nkapa kachemsha na sidhani yuko tayari kudhalilishwa mara ya pili ndani ya miezi mitatu, Six amejaribu Kirumba kachemsha, Mama Kilango kachemsha Kiwira(vijijini), sijui sasa watamtuma nani akamsaidie mgombea wao. Kwa upande mwingine CHADEMA hata wakinituma mimi, ambaya hata sina cheo, nitawaongoza kushinda.
Kama wakifanya kosa wakasimamisha mgombea, na kulingana na upepo wa kisiasa wa sasa watapoteza tena uchaguzi, watakuwa wameamua rasimi kurudisha serikali mikononi mwa Wananchi kwani 2015 itakuwa ni kujumlisha kura tu!
Naona kuna uwezekano mkubwa kimada wa sisiyemu anaweza kuombwa asimamishe mgombea ambaye magamba watamuunga mkono nyuma ya pazia na kujiepusha na aibu ya kushindwa mara mbili ndani ya miezi mitatu.
Naomba kuwasilisha[/QUOTE] Mytake is, situation in Arusha it has been creteated by the system to give ELkiss of political death. As he will be defeated in two consecutive by electionin his back yard, myth about him being smooth operator and respectable elderfrom A town will evaporate and presidential ambition with it, consequently JK will be free to influence 2015 CCM presidentialcandidate as he wish.
Mungi,hivi katika CCM kuna mtu ana aibu? Umeneja kila mtu katika CCM atautaka kwani unaposho hilo swala la aibu kwao ni msamiati mpyaKusimamisha mgombea watamsimamisha, we sema hakuna mtu atakayeukubali umeneja wa kampeni.
Hakuma mtu anataka kupata aibu